album cover
Shobo
album cover
Shobo was released on November 29, 2021 by Sixxtune Africa as a part of the album New School
ReleasedNovember 29, 2021
LabelSixxtune Africa
BPM192
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Skuizi ata kupenda tena mi naogopa
Asije akanikuta mi nkajuta nikakonda midoro
Maumivu yameweka nuktaa sio saw yanguu
Kwa yale yaliyonikutaa
Mapenzi ya nini mi yashanikataa
Nishapenda saana nikauguagaa
Mi yashantia uchovu nkaweka nangaa
Ndio maana mie sitaki shobo ebo
Sitaki shobo, ndio maana mie sitaki shoboo oh-oh
Mwenzenu mie sitaki shobo na mapenzi
Jamani mie sitaki shobo oh-oh, oh
Ndio maana mie sitaki shobo ebo, sitaki shobo
Nilipendanga vibonge (Wembamba), nikapokonywa na tonge (Mwepe mchana)
Nikamezanga vidonge (Vikakwama), nikataka nikaroge (Kwa waganga)
Mapenzi ya nini mi yashanikataa
Nishapenda saana nikauguagaa
Mi yashantia uchovu nkaweka nangaa
Ndio maana mie sitaki shobo ebo
Sitaki shobo, ndio maana mie sitaki shobo oh-oh
Mwenzenu mie sitaki shobo na mapenzi
Jamani mie sitaki shobo oh-oh, oh
Ndio maana mie sitaki shobo ebo, sitaki shobo
Shobo
Sitaki shobo
Shobo
Sitaki shobo
Written by: LUGENDO ZUBERY CLEO
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...