album cover
Utamu
13,190
Worldwide
Utamu was released on November 5, 2021 by Mabantu as a part of the album Utamu - Single
album cover
Release DateNovember 5, 2021
LabelMabantu
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM91

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
MABANTU
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Oh jaah (Unapunguza utamu)
Kiruu (Unapunguza utamu)
Kanee (Unapunguza utamu)
Si wanapenda kubeing (Unapunguza utamu)
[Chorus]
Dj ongeza sauti alafu punguza scratch izo mambo zako zinatukata (Unapunguza utamu)
Alafu boss kama unaagiza agiza creti mambo ya kuagiza moja moja (Unapunguza utamu)
Niaje madam kama unanipa we nipe sijakataa ukimwi ila condom (Unapunguza utamu)
Alafu dada kama unakatika kata mambo ya kusema nisikubambie (Unapunguza utamu)
[Verse 1]
Utaziambia nini piss za town eeh
Hazing'oki kwa offer za bia eeh
Sio kidari sio dollar 100 eeh
Sio mashine sio kibamia eeh
[Chorus]
Dada ukifika getto nimizagamuano mambo ya kusema subiri badae (Unapunguza utamu)
Kama shoo piga shoo zile mambo baby una enjoy au unajisikiaje (Unapunguza utamu)
Weiter leta gambee (Unapunguza utamu)
Ongeza gambee (Unapunguza utamu)
Unapunguza utamu (Unapunguza utamu)
[Chorus]
Usipunguze speed (Unapunguza utamu)
Ukipunguza speed (Unapunguza utamu)
Kanyaga weka speed (Unapunguza utamu)
Mpaka mwisho speed (Unapunguza utamu)
[Chorus]
Kibonge usiende geam me napeenda izo nyama yale mambo yako ya kubana tumbo (Unapunguza utamu)
Sio kigodoro sio meck up me napenda ivyo nature mama mtu ukifata mkumbo (Unapunguza utamu)
Nywele kajisukia nauli kajilipia alafu wee sekunde 5 ushamwagia (Unapunguza utamu)
Vipigo anafungulia anakupuria sasa mbona kila mara unamsifia (Unapunguza utamu)
[Verse 2]
Utatwambia nini sisi mapopo eeh
Kila siku tunalala kesho eeh
Oya wahuni wote peponi eeh
Na wadangaji wote peponi eeh
[Chorus]
Bidada ukifika getto ni mizagamuano mambo ya kusema subiri badae (Unapunguza utamu)
Kama shoo piga shoo zile mambo baby unaejoy au unajisikiaje (Unapunguza utamu)
Weiter leta gambe (Unapunguza utamu)
Ongeza gambe (Unapunguza utamu)
Unapunguza utamu (Unapunguza utamu)
Usipunguze speed (Unapunguza utamu)
Ukipunguza speed (Unapunguza utamu)
Kanyaga weka speed (Unapunguza utamu)
Mpaka mwisho speed (Unapunguza utamu)
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...