Credits

PERFORMING ARTISTS
MABANTU
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
Songwriter
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gachi B
Gachi B
Producer

Lyrics

Si wanapemda kubeng Dj itisha please rudia hii
Pesa ya pombe hatuna waiter utatudai
Dada agiza tu walahi sitokudai
Ila namdenda namkuyata so atafurahi
Ha! Unakatika naomba nikubambie , nikusokote yaani kabangie
Nina bonge la muhogo nikakukatie, si una bustani nikakumwagie
Honey! Nikupe shesha za kimako, na naikandamizaga kweli sitoi boko
Mister finger bling Juma Nyoso, na kwenye boxer guu la mtoto
Wanangu tungi na mapenzi bora Nini? (Bora tungi)
Sijasikia mnasema (Bora tungi)
Kuomoka na mapenzi bora nini? (Kuomoka)
Sijasikia mnasema (Bora kuomoka)
No love, no stress, no love, no stress
No love, no stress, no love, nasema no stress
No love, no stress, no love, nasema no stress
No love, no stress, no love, nasema no stress
Ongeza moja mbili basi ongoja, nitalipa bill nikiondoka
Ongeza ma moja mbili ongoja, nitalipa bill nikiondoka
Nipe baba nipe tequila (Hapo), na hii bill we ipe tilla (Hapo)
Huko nyuma kafunga bila (Hapo), na kwa kitanda mimi ndio killer (Hapo)
Asipolia namzaba na kibao (Wewe), so niko feni mimi uno ya mambao (Wewe)
Alale ghetto nimfukuzishe kwao (Wewe) Anavyonyonya ka kibogoyo wa Dar
Hivi anakupenda kweli au anadaiwa kodi, (Eeh aki si andaiwa kodi)
Hivi anakupenda kweli au kisa unamtumia vocha wewe (Eeh au kisa unamtumia vocha wewe)
Wanangu tungi na mapenzi bora nini? (Bora tungi)
Sijasikia mnasema (Bora tungi)
Kuomoka na mapenzi bora nini? (Kuomoka)
Sijasikia mnasema (Bora kuomoka)
No love, no stress, no love, no stress
No love, no stress, no love, nasema no stress
No love, no stress, no love, no stress
No love, no stress, no love, nasema no stress
Basi ongeza moja mbili basi ongoja
Nitalipa bill nikiondoka, ongeza ma moja mbili ongoja
Nitalipa bill nikiondoka
No love, no stress, no love, no stress
No love, no stress, gatchu, si wanapenda kubeng'
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...