Lyrics

Muhtasari Maneno ya wimbo Sikiliza Matokeo Makuu Tatizo ni pale ambapo ananiona Na wana kibao utadhani ni jeshi Nakuaga na piece kazi yao ni kucheka Hata kama kuna kitu hakichekeshi Unajitangaza una beef na mimi Wakati level zako za kina Tekashi Vijembe vyenu havinikondeshi Nishawalenga na huwa sikopeshi Wats poppin? Ona kama vile ukikaa kwenye beat haunati Mbona naskia mtaani kwako we ni bonya Unakaaga na piece na ung'ati Pia nimesikia we ni msee Wa kugongea gongea jiti au bati Bahati haupati nakuwaga na manoti Kama vile niko team ya Hush Puppy Toa utakavyoweza babangu Ila mimi huwezi kunitoa Michano ni mahesabu madogo Hata yakiwa makubwa tunakopotoa Naanza za vipi kuwahudumia Na mshaanza kunyeni napokojoa So wamekuleta nitakachofanya Nitakurudisha walipokutoa I'm killing these rappers nikiwa my zone Na tupo wengi mimi ni wa more zone Madebe mjini wanataka more Nakiwapa more wanachona poni Mi OMG nitazame usoni Ni OMG imefanya unione Bro OMG ni kitega uchumi So OMG tunarudi soon Kwanza nawakera wana boss Papi zao nipo ringtone Nikiona unaelekea kunijua sana Na sikufahamu sipokei phone Na nikiona mnajifanya mnachana sana Kwa kizungu nawaitia Conii Kwa kiswahili pambano hakuna Nawafinya nawatia mfukoni Najimaintain hata mimi mwenyewe ni gang gang (Put your head on my shoulder Put in my hand baby What I want you...) Haunikosi kwenye top 20 Kuwa zombie ili ukae 20 Dunia ina mambo ndo ilivyo Navimba sana ndo nilivyo Wamekuwa inspired na mimi though Saa hivi wananidiss ati here we go I don't really know what is by (That) Kisa nachana kwa maringo Na kunipata hamnipati ng'o Mngejua mngefanya bolingo Wanajua fika mziki ni mnene Ila bado bado wanajitutumua Wengine washasema sitofika mbali Kisa tunashine na nishawajua Mambo ya ajabu nakaza kusuka Mipango wanataka kuifumua Masihara leta ata kwa wife Ila kwenye kazi nitakupasua African gut I be killing them sha! Wakija mapema nawakalisha sha! Kuhusu masinema mi ni nguli haswa! Piga kwenye ulimbo kanasa Mnanifananishaga na nani sasa? Vimba oh mpaka tupige msasa Ukinipenda tunaenda sawa sawa Ukinichukia si basi sasa Maana binadamu anaweza akakupenda Ukiuliza sababu hakuna kwa nini? Ukiwa mwanangu afu uko unapenda sana Mambo ya watu nakupiga chini Wanarundikana wakikosa kazi Wanadiscuss nitachuja lini Kuna vitu vya kuviweka bank Na kuna vitu vya kuweka akilini Baadhi ya watu wanakuwaga wanoko Je hata ukimwona anakununia Ndo yale mambo unakuta DJ Hapigi ngoma zako na anakuvimbia Nimeshazoea kupondwa mgongoni Japo wakiniona wananisifia Najivunia kuwa mTanzania Na hii ndo local package ya dunia We outchea, in the source winning team baby Kapo, Sheshe, Petty Madi rasta Tajiri Abass... 77_
Writer(s): Pharrell L. Williams, Lonnie Rashid Lynn Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out