album cover
Chawa
29,029
World
Chawa was released on January 26, 2022 by Seneta Kilaka as a part of the album Chawa - Single
album cover
Release DateJanuary 26, 2022
LabelSeneta Kilaka
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM144

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Seneta Kilaka
Seneta Kilaka
Performer
COMPOSITION & LYRICS
SHABANI ALLY KIUTILA
SHABANI ALLY KIUTILA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
JOSEPH VITUS MARANDU
JOSEPH VITUS MARANDU
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Ukiskia chochote kunihusu mimi, mpenzi wangu usimwambie atakuona chawa
Ukiskia chochote kunihusu mimi, honey wangu usimwambie atakuona chawa
Sababu mi ndo tamu yake mimiooh, sababu mi ndo sweet wake mimiooh
Sababu mi ndo tamu yake mimiooh, sababu mi ndo sweet wake mimiooh
[Verse 2]
Nasema wameshindwa watu wenye uwezo
Sasa itakua wewekikaragosi
Yani wameshindwa watu wenye uwezo kutugombanisha
Itakua wewe kikaragosi
[Verse 3]
Kwetu penzi paja we limenona yani mchuzi kijikooh
Alafu lipo imara wa kututenganisha labda mungu kwa kifo ooh
Si kwetu penzi paja we limenona yani mchuzi kijikooh
Alafu lipo imara wa kututenganisha labda mungu kwa kifo oooh
[Chorus]
Ukisikia chochote kunihusu mimi mpenzi wangu usimwambie atakuona chawa
Ukisikia chochote kunihusu mimi ooh honey wangu usimwambie atakuona chawa
Sababu mi ndo tamu yake mimiooh
Sababu mi ndo sweet wake mimiooh
Sababu mi ndo tamu yake mimiooh
Sababu mi ndo sweet wake mimiooh
[Verse 4]
Aah nikiwa mbali nae hunitafuta muda woote
Yani kwa hili penzi letu mnafki tia neno usutwe
Kwa kutugombanisha sio kweeli
Kwanza we amini kwetu utafeeeli
Ooh usijipe mapresha iyee eeh
Ooh yani kwa penzi letu sieeh
Ooh usijipe mapresha iyee eeh
Yani kwa penzi letu sieeh
[Refrain]
Oh yani atakuona chawa (Chawa) atakuona chawa
Nasema atakuona chawa (Chawa) atakuona chawa
Oh yani atakuona chawa (Chawa) atakuona chawa
We yani atakuona chawa (Chawa) atakuona chawa
[Verse 5]
We yule dada akishalewa chupi yake mbona inabana
Trisha Omani akishalewa chupi yake mbona inabana
Madame kidoti akishalewa chupi yake mbona inabana
Nanah Mapozi akishalewa chupi yake mbona inabana
[Verse 6]
Hasidi Hasidi mtu mbaya aah
Ndo mana anakonda kiloho mbaya aah
Ooh Hasidi Hasidi mtu mbaya aah
Ndo mana anakonda kiloho mbaya aah
Ah twende nitikisie moja, moja, moja-moja dada wee
Weka tena, mh bado sijaona
Nitikisie moja, moja, moja-moja dada wee
Bado tena, mimi sijaona
Nitikisie moja, moja, moja-moja dada wee
Bado tena, mimi sijaona
Ah we nitikisie moja, moja, moja-moja dada wee
Bado tena, mwenzako sijaona
We nitikisie moja, moja, moja-moja dada wee
Bado tena, mimi sijaona
Written by: SHABANI ALLY KIUTILA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...