album cover
Hujanitenga
album cover
Hujanitenga was released on September 2, 2018 by Zabron singers as a part of the album Sio Bure
September 2, 2018
LabelZabron singers
BPM114
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Natamani kue-elewa pendo lako lisilo mwisho limekaa vipi
Nikitafakari mara ngapi nakosea lakini bado wanichulia tu
Moyo vangu u-u mdanganyifu kwa dhambi bado nazi-zikumbuka zote
Najitathmini ksasi gani sisitahili ila basi wanichukulia tu
[Verse 2]
Taratibu walielekeza ninapokosea anirudi, rudi umekosa
Hujawaikunitenga kisa mimi ni mdhambi useme, sasa sikutaki
Taratibu walielekeza ninapokosea anirudi, rudi umekosa
Hujawaikunitenga kisa mimi ni mdhambi useme, sasa sikutaki
[Chorus]
Hujanitenga Yesu wangu, hujanichoka
Hujahesabu dhambi zangu, uovu wangu
Bado wangonja nitubu ili unisamehe
Hujanitenga Yesu wangu, hujanichoka
Hujahesabu dhambi zangu, uovu wangu
Bado wangonja nitubu ili unisamehe
[Verse 3]
Wanadamu huko-kosea wamuelewa na kumuonesha pendo lako kuu
Unimpaired jua, mvua pumzi uhai hiyo ni sababu wamchukulia tu
Mwanadamu huyu hajakulipa chochote kwa wema lako pendo lako kuu
Wamlinda vyema ni dhiki wampatia, hiyo ni sababu wamchukulia tu
[Verse 4]
Taratibu unatukumbusha ubaya wa dhambu tuwache, acha wapotea
Nia yako ni kuhakikisha kila mdhambi amepona, apate uzima
Taratibu unatukumbusha ubaya wa dhambu tuwache, acha wapotea
Nia yako ni kuhakikisha kila mdhambi amepona, apate uzima
[Chorus]
Hujanitenga Yesu wangu, hujanichoka
Hujahesabu dhambi zangu, uovu wangu
Bado wangonja nitubu ili unisamehe
Hujanitenga Yesu wangu, hujanichoka
Hujahesabu dhambi zangu, uovu wangu
Bado wangonja nitubu ili unisamehe
[Outro]
Samehee
Written by: JAPHET ZABRON PHILIP, Marco Joseph Bukuru, Zabron Singers
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...