album cover
Original
4,265
Hip-Hop/Rap
Original was released on January 21, 2016 by Gnako as a part of the album Original - Single
album cover
Release DateJanuary 21, 2016
LabelGnako
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM73

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
G Nako
G Nako
Performer
COMPOSITION & LYRICS
George Mdemu
George Mdemu
Songwriter

Lyrics

I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
OG!
Uongo utakupa ushindi, wa siku moja
Ukweli unaishi milele, moja kwa moja
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
Hawa machizi wanakunywa na wewe
Sunday
Hawa machizi wanaku-snitch Monday
Na snitch akishikwa basi apigwe
Monday
Wara Wara sivujishi, mpaka polisi
Wasande
Mchizi wa kweli ha-snitch, goma mpaka
Rumande
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
Original, orijinale
Mkono kwa pesa inalipa eh?
Vipi ujenzi wa taifa? enhee
Na huu si ni mziki wa kizazi kipya? eh
Kitaani vipaji vinakufa, aichi!
Let\'s keep it real, sisi wote ni Hip Hop,
Yap!
Let\'s keep it real, wote tunataka hela,
Yap!
Let\'s keep it real, wote tuna familia,
Yep!
Let\'s keep it real, hamjui kutengeneza
Hela, chap chap!
Kama hutaki kuwa on top, jamaa
Basi lazima wewe ni whack, uh jamaa
Damn it!
Uongo utakupa ushindi wa siku moja
Ukweli unaishi milele moja kwa moja
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
Atakuazima chumvi akutangaze kitaa
Kizima
Akikuazima mboga si kitanuka hii Dar
Nzima
Najua waona simu yangu, mbona
Hupokei?
Sikupigi kizinga hommie, nataka ku-
Survive
Subiri nipige mabovu, ntabonga na
Secretary
Level chafu, level za kibepari
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
Original, orijinale
Ku-fake ni kama kujichubua, lazima
Mnajijua
Kama jua kuchomoza, na jua kutua
Na navojua watu wakikua wanakuwa
Na busara
Ona mmekua, mmekua mmekuwa
Mafala
Mi nawajua personal, ni wapishi wa
Maneno
Msoweza kula, wagumu nje
Ndani wauza sura
Huruma punje, muda wangu wa mulla
Tukikutana mwakenua meno, eh!
Mi sio daktari wa meno, ehee
Kimeno meno
Uongo utakupa ushindi wa siku moja
Ukweli unaishi milele moja kwa moja
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I\'mma keep it real eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
I keep it one hundred eh (I\'mma keep it
OG)
Written by: George Mdemu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...