Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ucho
Ucho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ucho
Ucho
Songwriter
Osam Nms
Osam Nms
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Osam Nms
Osam Nms
Producer

Lyrics

chiii aaah
mmhh mambo mengine noma washikaji ayapendezi majina kuchafuliana kwasababu ya mapenzi
mambo mengine noma washikaji ayapendezi majina kuchafuliana kwasababu ya mapenzi [baby]
eeh mtaniona hivi hivi mtaniona kunishusha amuwezi mtaniona mtaniona hivi hivi mtaniona kunishusha amuwezi mtaniona
alifichiki eeeh alifichiki [pembe la ng;ombe alifichiki mmeliona alifichiki [pembe la ng;ombe]
alifichiki eeh eeh alifichiki [pembe la ng;ombe ] alifichiki mmeliona alifichiki [pembe la ng;ombe]
alamba alambaa [tamu tamu] alamba alamba tena [tamu tamu].
pinda mugongo pinda mugongo pinda mugongo [pembe la ng;ombe]
cheza kidogo cheza kidogo cheza kidogo[pembe la ng;ombe]
pinda mugongo pinda mugongo pinda mugongo [pembe la ng;ombe]
cheza kidogo cheza kidogo cheza kidogo[pembe la ng;ombe]
Written by: Ucho
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...