album cover
Move On
17,399
World
Move On was released on November 26, 2021 by Independent Artist/TML as a part of the album Sweet Pain - EP
album cover
Release DateNovember 26, 2021
LabelIndependent Artist/TML
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM169

Lyrics

VERSE 1
Bye bye ndio neno langu nimekuswafia ahhhh kuondoka ndo Nusra yangu kuliko kuyakumbatiaa
Sababu nakupenda unajuwa siwezi fanya tofauti Naona Nguo zishakauka Anuwa nimerizika Na kibuti
Penzi furaha penzi jeraha usijenikuta umauti Naona nguo zishakauka Anuwa nimelizika Na kibuti
Amini mi Nipo timamu kinitokacho kinywani si haram na mimi ni Binadam Haya maumivu kwa Damu
Sababu nakupenda unajuwa siwezi fanya tofauti Naona Nguo zishakauka Anuwa nimerizika Na kibuti
CHORUS
Si kwa ubayaa ahh nime Move on
Si kwa ubaya aaaah nime Move on x2
VERSE 2
Si kwa Ubaya nime move on (move on)
Maana sili hata na usiku silali,, najiuliza nini hiki wamekishindwa doctors aaaah weeee
Najitaidi simama siwezi mtoto ludi kwa mama ahhhh sharara simama penzi limeni kill nyang'a nyang'a
Ahhh labda we ulitaka kuniuwa (kuniuwa) Ama nilikosea kuchaguwa
Yakushona mi nika tatuwa aaah Asa ndo Picha limeunguwa ahhh
Sababu nakupenda unajuwa siwezi fanya tofauti Naona Nguo zishakauka Anuwa nimerizika Na kibuti
CHORUS
Si kwa ubayaa ahh nime Move on
Si kwa ubaya aaaah nime Move on x2
BRIDGE
Labda we ulitaka kuniuwa (kuniuwa)
Haya maumivu kwa Damu mmmmh mhhh
Written by: Ismail Juma Mandoti, John David Rubote, Juma Ramadhani Langu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...