album cover
Unafaa
album cover
Unafaa was released on May 16, 2022 by Independent as a part of the album Ushuhuda
May 16, 2022
LabelIndependent
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Macho yameona na tena nimeskia
Habari njema kwangu
Moyo una shauku pia kukuona
Zaidi Bwana wangu
[Verse 2]
Nina kiu-kiu isio kata aaah
Ni kama nipo jangwani naona vumbi tu
Nahitaji chakula cha roho yangu
Mi nipone kwa maana nipo jangwani
Ninakuhitaji yeyeeh
[Verse 3]
Ukae na mimi ukae ndani yangu
Nikae na wewe uwe salama yangu
Ukae na mimi ukae ndani yangu
Nikae na wewe uwe salama yangu
[Chorus]
Hakika we ndio wee (Unafaa, unafaa, unafaa)
Wewe unafaa (Unafaa, unafaa)
Wewe mtetezi (Unafaa, unafaa, unafaa)
Uwe nami daima eeh (Unafaa, unafaa)
Unafaa
[Verse 4]
Baba sitamani nije kwako mikono mitupu
Nibariki nikutolee sadaka
Najua nikiwa mikononi mwakoo
Nitakuwa shwari, nitakuwa shwari
Kwa maana ahadi zako si uongo (Uongo)
Ndivyo hivyo unatimiza ahadi
Ndo maana sina wasiwasi, ndo maana sina waasi
[Verse 5]
Ukae na mimi, ukae ndani yangu
Nikae na wewe, uwe salama yangu
Baba (Huhuhuuh) ukae ndani yangu
Nikae na wewe (Babababababah)
[Chorus]
Ni wewe unanifaa (Unafaa, unanifaa, unanifaa)
Si kama wengise (Unafaa, unafaa)
We ni mfariji (Unafaa, unanifaa, unanifaa)
Unafaa baba (Unafaa, unafaa)
[Chorus]
Wee ni Baba (Unafaa, unanifaa, unanifaa)
Aah (Unafaa, unafaa)
Baba ni wewe unastahili (Unafaa, unanifaa, unanifaa)
Karibu moyoni mwangu (Unafaa, unafaa)
Written by: Walter Godfrey Chilambo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...