album cover
Busara
184
World
Busara was released on May 16, 2022 by Independent as a part of the album Ushuhuda
album cover
Release DateMay 16, 2022
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM86

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Walter Chilambo
Walter Chilambo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Walter Godfrey Chilambo
Walter Godfrey Chilambo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Walter Godfrey Chilambo
Walter Godfrey Chilambo
Producer
TML
TML
Producer

Lyrics

[Intro]
Jawabu la upole huigeuza hasira
Bali neno liumizalo
Huchochea ghadhabu
Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa
Bali moyo wa mpumbavu haufanyi hivyo
[Verse 1]
Mmh bwana, bwana, bwana
Nakuita bwana
Uliye mwama bwana
Nakwitaji bwana
Unaye badilisha nakutu tengeneza
Nanyenyekea kwako nanyenyekea kwako
[PreChorus]
Mimi nikama gari bovu wajua
Pakugusa ni wapi ni wake
Mi ni kama kinda la ndege baba oh
Ukiniacha nitaliwa na mwewe oh
[PreChorus]
Ooh mimi nikama jumba bovu sijaezekwa
Na mkandarasi wangu ni wewe
Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa
[Chorus]
Nipe, nipe, nipe (Busara)
Ooh nipe (Busara)
Baba nipe maarifa na (Busara nifanane nawe)
Nifanane nawe Bwana ninaomba (Busara)
Hekima yako na (Busara)
Domo langu nalijua mwenyewe (Busara nifanane nawe)
[Verse 2]
Macho yako Bwana yako kila mahali
Yakichunguza mbaya na mwema
Mmh unitoe katika boma la miba
Maana ina choma
Na unifanye zao lenya faida nisiwe hasara tena
Unyenyekevu wako bwana (Wako bwana)
Wakufanana (Hakuna)
Nami unifanye vivyo hivyo (Ooh bwana)
Unifinyange (Sawa, sawa)
[PreChorus]
Mimi nikama gari bovu wajua pakugusa ni wapi ni wake
Mi nikama kinda la ndege baba oh
Ukiniacha nitaliwa na mwewe oh
Mimi ni kama jumba bovu sijaezekwa
Na mkandarasi wangu ni wewe
Maana tunaangamia kwa kukosa maarifa
[Chorus]
Nipe, nipe, nipe (Busara)
Ooh nipe (Busara)
Baba nipe maarifa na (Busara nifanane nawe)
Nifanane nawe bwana ninaomba (Busara)
Hekima yako na (Busara)
Domo langu nalijua mwenyewe (Busara nifanane nawe)
Nipe, nipe, nipe (Busara)
Yesu nipe (Busara)
Niondolee kiburi baba nipe (Busara nifanane nawe)
Uuh sikunibeba kwa mbeleko hivo (Busara)
Bali nitualize kwa neno lako (Busara)
Bwana ninaomba hekima na (Busara nifanane nawe)
Written by: Walter Godfrey Chilambo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...