album cover
Malaika
album cover
Malaika was released on June 25, 2021 by Freemind Music/TML as a part of the album Pamoja
AlbumPamoja
June 25, 2021
LabelFreemind Music/TML
BPM75
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika
[Verse 2]
Ningekuoa mali wee
Ningekuoa dada
[Chorus]
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
[Verse 3]
Pesa
Za sumbua roho yangu
Pesa
Za sumbua roho yangu
[Verse 4]
Nami nifanyeje
Kijana mwenzio eh
[Chorus]
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
[Verse 5]
Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege
[Verse 6]
Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
[Chorus]
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
[Verse 7]
Malaika
Nakupenda malaika
Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada
[Chorus]
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Written by: Adam Salim
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...