Credits

PERFORMING ARTISTS
Karura Voices
Karura Voices
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Pitson Pen
Pitson Pen
Songwriter

Lyrics

Wewe pekee ni kiu ya moyo wangu, natamani kushiriki nawe
Nikumbushe agano lako, uweponi nisiondoke, kaa na mimi siku zote
Wewe pekee ni haja ya moyo wangu, natamani kutembea nawe
Nikumbushe agano lako, uweponi nisiondoke, kaa na mimi siku zote
Njoo utujaze, na Roho wako, twakungoja
Njoo mioyo yetu, yakutamani, bwanaa
Njoo utujaze, na Roho wako twakungoja
Njoo mioyo yetu, yakutamani, bwanaa
Wewe pekee ni kiu ya moyo wangu, natamani kushiriki nawe
Nikumbushe agano yako, uweponi nisiondoke, kaa na mimi siku zote

Nakutamani, nakuhitaji, nakutamani, nakuhitaji
Nakutamani, nakuhitaji, nakutamani, nakuhitaji
Kaa nami, kaa nami
Kaa nami
Written by: Pitson Pen
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...