Credits
PERFORMING ARTISTS
Zzero Sufuri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zzero Sufuri
Composer
Lyrics
[Intro]
Shika, zimenishika zime, zimenishika yo
Niki (Mff mmff) kimenishika yoh
Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa yoh
Si ni kienyewe, kiko kwa kichwa kimejificha yoh
Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa
Si ni kienyewe kiko kwa kichwa kimejificha
Juu ni kimbichwa (Sikia Zzero)
[Intro]
Washa ki (Mff mmff) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (Mff mmff) hadi kwa brain
Nikitam niki (Mff mmff) saa ya rain
Niki ki(Mff mmff)
[Chorus]
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Niki (Mff mmff) kimenishika yoh
[Chorus]
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Niki (Mff mmff) kimenishika yoh
[Verse 1]
Kiko kwa kichwa kimejificha ni kimbichwa yoh
Si ni kienyewe kiko kwa kwa kichwa kimejificha yoh
[Verse 2]
Kiko kwa kichwa
Kimejificha si ni kimbichwa si ni kienyewe
Kiko kwa kichwa kimejificha
Juu ni kimbichwa eeh
[Refrain]
Washa ki (Mff mmff) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (Mff mmff) hadi kwa brain
Nikitam niki(Mff mmff) saa ya rain
Niki ki (Mff mmff) eeh hadi kwa vein
[Refrain]
Washa ki (Mff mmff) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (Mff mmff) hadi kwa brain
Nikitam niki(Mff mmff) saa ya rain
Niki ki(Mff mmff) eeh hadi kwa vein
[Refrain]
Ju naifanya mara mingi nikohoe (Mff mmff)
Kwa kifua (Mff mmff)
Mi hukivuta (Mff mmff)
Na mamorio wangu wote si wanapenda kuzi (Mff mmff)
Kutoka ngware hadi usiku si hushindaga tuki (Mff mmff)
[Refrain]
Tukilandi (Mff mmff)
Nishawasha kingine (Mmff)
Kwanza peddy si ako inadi
Zinafaa tuziende (Mmff)
[Refrain]
Zikikam (Mff mmff)
Tuzivute (Mff mmff)
Zote zote ka (Mff mmff)
Zote zote ka (Mff mmff)
[Chorus]
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Niki (Mff mmff) kimenishika yoh
[Chorus]
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Niki (Mff mmff) kimenishika yoh
[Verse 3]
Si uki kohoa kohoa hiyo ni dalili ya kunyongwa
Pitisha morio utaitisha ni kubwa sana
Ivisha macho zikuwe red Macho nyanya na
Usiseme ukweli ukiulizwa unasema hapana ati
[Verse 4]
Niki (Mff)
Umevuta na unasema hapana
Maybe pengine, kwani morio mnajuana
Si kuna watu huwaga jo mnaweza kosana
Imekubalika we ki(Mff mmff) bado mchana
[Verse 5]
Ki kush kipass kwanza kitam kia ras
Ka umezoea choma utaskia niko kwa France
Unajua uko smart chini umedunga ma clarks
Unaeza vaa pams, toka mbio ruka bumps
[Chorus]
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Niki (Mff mmff) kimenishika yoh
[Chorus]
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika, zimenishika, zimenishika yoh
Niki (Mff mmff) kimenishika yoh
Written by: Zzero Sufuri