album cover
Bembeleza
album cover
Bembeleza was released on March 5, 2021 by Sol Generation Records as a part of the album Kitenge - EP
ReleasedMarch 5, 2021
LabelSol Generation Records
LanguageEnglish
BPM86
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Intro]
Nviiri, baby
The storyteller, ayy, ayy, ayy oh
[Verse 1]
It's been one year down the line
Feeling so alive na baby ukaniseti
That is when you left me
Can you sing me a lullaby
To make me sleep at night
Usingizi sina lately, usingizi sina lately
Sijui kama ni mchezo aliona
Sijui kama hii mateso yatanikoma
Sijui kama kesho nitaiona
Oh mama
[Chorus]
Mama, come unibembeleze
Come unitengeneze
I'm still in pain, I'm still in pain
Mama, come unibembeleze
Come unitengeneze
I'm still in pain, I'm still in pain, oh
[Bridge]
Ai, ai, mama ai, ai, mama ai, ai, mama
[Verse 2]
Nimelewa asubuhi, hebu ona
Moyoni nimekonda
Tumbo nahisi kama wanishona
Chakula, haiwezi songa
Ninavyohisi mami, si unitibu
Nimekuwa wazimu
Nayemmiss, hawezi nijibu
Nilichomfanyia
Ninavyohisi mami, si unitibu
Nimekuwa wazimu
Nayempenda, hawezi nijibu
Nilichomfanyia
[Chorus]
Mama, come unibembeleze
Come unitengeneze
I'm still in pain, I'm still in pain
Mama, come unibembeleze
Come unitengeneze
I'm still in pain, I'm still in pain, oh
[Bridge]
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
[Verse 3]
Nibembeleze
Mweleze arudi (Nitengeneze)
Mweleze arudi nyumbani, yeah (Nibembeleze)
Mweleze arudi (Nitengeneze)
Mweleze arudi nyumbani, yeah
[Outro]
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Mama, come unibembeleze
Written by: Nviiri The Storyteller

Loading...