album cover
Saree 2
747
Hip-Hop/Rap
Saree 2 was released on January 1, 2001 by Ogopa Deejays as a part of the album Nimefika
album cover
Release DateJanuary 1, 2001
LabelOgopa Deejays
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM199

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Esir
Esir
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ogopa Djs
Ogopa Djs
Producer

Lyrics

Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree), manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree)
Kagomba leo lazima kanase (Si usaree), kachongwe (Si usaree), kabambe (Si usaree)
Kakishabamba lazima katemwe (Si usaree), kisha lale lazima pakatwe (Si usaree)
Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree), apandwe (Si usaree), ahanywe (Si usaree)
Mi na ndugu zangu, ndani ya gari yangu, mamanzi hamsini, tutafika lini?
Guaranteed, leo tunawaingia kusini, chini kwa chini, juu kwa juu, side to side till I see what's inside
Girl, it's no lie, the way you shake your behind, I'm about to lose my mind
Pick up the remote and rewind, to my car, please jump inside
Call my friends, I'll show you where we can hide, in the midst of the Pirates,l you can have anything you want (Saree)
You got it from the back to the front (Saree)
Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree), manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree)
Kagomba leo lazima kanase (Si usaree), kachongwe (Si usaree), kabambe (Si usaree)
Kakishabamba lazima katemwe (Si usaree), kisha lale lazima pakatwe (Si usaree)
Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree), apandwe (Si usaree), ahanywe, si usaree
Kijana amewaangushia tracks kadhaa za kuwasaidia ku-party ni nani?
Hajui rap bila E-Sir ni kama sigara bila nare, basi
Nifungulie njia nipate kutiririka kama beer ya Pilsner nipe futi sita nipate kuwaburudisha
Hii ni ya kila mdhii amekuwa akingojea flow ya Kiswahili, kila mnati tayari kuamka na ku-bounce kidhati
Kuingia floor katikati, kugonga wadhii bila kuwaambia samahani "A-la! Waleta balaa, I thought you're my guy, kumbe you're just another fala"
Vipi rafiki? Stahili lakini mabeshte ninaotembea, nao wamechizi
Wala samaki na ndizi baada ya tizi nipe wakati kidogo na utawaona kwa TV
Internet sites all over the PC, waki-hang na mamanzi ijapokuwa wanati wame-dress ka ma-barbie vinywaji ni barley, si usaree
Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree), manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree)
Kagomba leo lazima kanase (Si usaree), kachongwe (Si usaree), kabambe (Si usaree)
Kakishabamba lazima katemwe (Si usaree), kisha lale lazima pakatwe (Si usaree)
Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree), apandwe (Si usaree), ahanywe
Ili ngoma yangu isibambe, nakuomba lyrics zangu usichanganye, nakuomba hio mic usinipe, unless unataka crowd iwike (Si usaree)
Shika dada karibu na wewe, chini kwa chini, bila wasiwasi, usimwachilie mpaka ikate, nitahakikisha anawika

Niaje? Bora kuwa moyo wangu wadunda lazima Kenya nzima ijulikane, zamani (Zamani)
Nilikuwa nikilipa ma-three South C lakini siku hizi ni mambo nasaree (Eh!)
Nakwambia inabidi, nani amesema kuwa mnati ni easy? Kila mtu ywapenda vila naangusha Kiswahili ki-sure, ndio sababu wajua
E to the sizzle ni matatizo ywangusha rhymes kwa maathiro, kama ni chorus wataka, basi ndio hio (Hio, hio, hio)
Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree), manze, kitu lazima ahanywe (Si usaree)
Kagomba leo lazima kanase (Si usaree), kachongwe (Si usaree), kabambe (Si usaree)
Kakishabamba lazima katemwe (Si usaree), kisha lale lazima pakatwe (Si usaree)
Kitandani, nyumbani, atambae (Si usaree), apandwe (Si usaree), ahanywe
Nina mabeshte ndani ya gari (Si usaree)
Written by: Isaah Mmari, Ogopa Djs
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...