Lyrics

Ka ni wangu namwaga hadi ndani Tupendane mapenzi ya dhati Ka ni flow niko nazo ka thirty All I know is I'm blessed si lucky Me ni cancer haimalizwi na bangi Style yangu ndio rapper ana copy Ukosefu wa nidhamu kwa kazi Me na fam hauwezi kuja kati Ni kalesa sipandangi taxi Si ni wale hustand out kwa umati Kwa ma Roro mia kuwa Messi Na ukikaribia si ni kesi Sana sana ka wewe ni mrazi All white na si bado una dhambi Deni ndogo haifuatwi na gari Nilifunzwa kuskizanga nafsi Si ntafanya utahema you gasping Me nagwaya pongi na risasi Zote mbili hazinanga ata vaccine Na kuomoka haitakangi lapsing Hii ni era yangu kuwa rap king We can keep it old school kama napkin Hii kipaji inatakanga practice Iende chain izunguke kwa axis Magizani si huchomanga back street Tangu ryma me huketingi back seat FYI me ni wordsmith Best rapper in the country Ka unapinga si ukalange mafi Handsome bado ugly Lakini bado me ni gyalis Hapa sheng si kilami Uko chini skill yako ni wanting Ndoto zangu ni za lambo si voxy Ka ni TK ni fam si kikosi Walistuka kupata ripoti Me navuma kwa sasa I'm popping Nikidunga ndula si ni costly Ka hanyonyi basi me sigongi Ju ya covid man a stay low key Kobra one and only Juggernaut no stopping Ni ku elevate kama cockpit Flow tight kama stocking Kobra one and only Juggernaut no stopping Ni ku elevate kama cockpit Flow tight kama stocking Ku understand vako zangu ni ngumu Circle biggie pia ni sumu Underdog bado expert, mchezo siweki kwa pesa Torture, tunatesa Legendary kama fella Very soon nikiteta haitakua fatigue ni jet lag Know your lane and stay there We ain't same cause I'm way better I've been deaf to the nay sayers Check stats na usi compare Kile nafanya kwa sasa, ni hio throne kupapasa Young king, old crown, royalty niki touch down Kobra one and only Juggernaut no stopping Ni ku elevate kama cockpit Flow tight kama stocking Kobra one and only Juggernaut no stopping Ni ku elevate kama cockpit Flow tight kama stocking
Writer(s): Paul Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out