Credits

PERFORMING ARTISTS
Ben Cyco
Ben Cyco
Lead Vocals
George Macharia
George Macharia
Solo
City Lighters
City Lighters
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Bernard Kariuki
Bernard Kariuki
Songwriter
Brandon Otieno
Brandon Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Denis Ihaji
Denis Ihaji
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nilipodhani ati hapo ndio mwisho
Nilipodhani me sina suluhisho
Shetani Kaniandama na vitisho
Nikaamini hapa njia haipo
Lakini Mungu wewewe
Wasababisha yasiyowezekana
Lakini mungu wewewe
Waitikia we ninapoitana
[PreChorus]
Mola na umenizingira na favor
Sina budi kukuabudu
Tena umefanya ninameremeta
Umejawa na utukufu
[Chorus]
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu wangu
[Chorus]
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu wangu
[Verse 2]
Unasamehe dhambi, unaponya magonjwa
(Umenikomboa kutoka mauti)
Umenivisha taji ya huruma we Mola
(Nitashukuru na nipaze sauti)
Pararara pararara
(Nitashukuru na nipaze sauti)
Pararara pararara
(Nitashukuru na nipaze sauti)
[PreChorus]
Mola na umenizingira na favor
Sina budi kukuabudu
Tena umefanya ninameremeta
Umejawa na utukufu
[Chorus]
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu Wangu
[Chorus]
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu Wangu
[Bridge]
Eeh nafsi yangu umuhimidi Bwana
Na vyote vilivyo ndani yangu
Vihimidi Jina Lake Takatifu
Eeh nafsi yangu umuhimidi Bwana
Wala usizisahau fadhili Zake Zote
Akusameheye makosa yako yote
Akuponyaye magonjwa yako yote
Eeh nafsi yangu umuhimidi Bwana
Amina
[Chorus]
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu Wangu
[Chorus]
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Nasema
Asante
Ewe Mungu Wangu
[Outro]
Asante
Asante
Asante
Ewe Mungu Wangu
Written by: Bernard Kariuki, Brandon Otieno
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...