Lyrics

Mr Seed eh, na Bahati Bahati tena (EMB Records) Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, ni ra raha haa Kumbe Kumbee, ni ra raha haa Wacha niwashow oh oh Kwa Yesu ni raha Namwita papa God oh eeeh Niliokoka wakacheka hoh hoh hoh Wakanipa wiki sasa ni more oh oh Nilizaliwa Huruma, Na place nimefika ni neema na huruma Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha Nakatika nachuchumaa Nilizaliwa Huruma, Na place nimefika ni neema na huruma Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha Nakatika nachuchumaa Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, ni ra raha haa Kumbe Kumbee, ni ra raha haa Hakuna hangover Ila bila gharama Labda turuke kesha Au kulala salama ah Yesu asifiwe, hadi Dar Sallama Hapa tu ni baraka, hatutaki laana Si ni wachanga ndio, Na tunataka raha ndio Tusiharibu matarajio Ju raha za shetani ni mashaka ndio Si ni wachanga ndio, Na tunataka raha ndio Tusiharibu matarajio Ju raha za shetani ni mashaka ndio Nilizaliwa Huruma, Na place nimefika ni neema na huruma Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha Nakatika nachuchumaa Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, ni ra ni raha haa Kumbe Kumbee, ni ra ni raha haa Si ni wachanga ndio, Na tunataka raha ndio Tusiharibu matarajio Ju raha za shetani ni mashaka ndio Si ni wachanga ndio, Na tunataka raha ndio Tusiharibu matarajio Ju raha za shetani ni mashaka ndio Nilizaliwa Huruma, Na place nimefika ni neema na huruma Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha Nakatika nachuchumaa Nilizaliwa Huruma, Na place nimefika ni neema na huruma Sa ni huduma, kwa Yesu kuna raha Nakatika nachuchumaa Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, Kumbe Kumbe eeh Kwa Yesu ni raha haaa Kumbe Kumbe, ni ra ni raha haa Kumbe Kumbee, ni ra ni raha haa Kwa Yesu ni raha haa Kwa Yesu ni raha haa Ah Kumbe Kumbe, ni ra ni raha haa (EMB Records)
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out