Credits

PERFORMING ARTISTS
Byron boy
Byron boy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Byron boy
Byron boy
Songwriter

Lyrics

Bello mr b winner una semaje mwa angu una juwa dunia iyi usipo jiazari naku Angalia namuna gani una weza uka chaguwa marafiki
Shidaa
Nendapo una weza uka angamiya
Una juwa shania siku izi ame aribika
Uyu shania uyu shania muschana Kabisa nashindwa kumu elewa Jopo chuoni nilipo soma naye alikuwa aki tuliya aaa mutaratibu mutaratibu na kwambiya. Mutaratibu sana
Nenda uka mwambiye eheeee
Capitain p on the track
shania nenda uka mwambiye eheeee
Docta’s mr b winner
Uku na sikiya shania kule wana mtaja shania eti shania malaya shania mtoto mubaya ataki kusikiya apendi kutuliya mara uki mupa shauri matusi ana kutupia kalamu na buku ameona sio sawa elimu ime mukifu shuleni aka jitoa
Nyumbani ana rudi usiku akiwa ame lewa shania kama umbwa mwiti na shindwa kumu elewa kila mutu ana juwa ata vuna alicho kipanda mlokole ana piga atuwa aki subiri parapanda nani ata kuokowa umekuwa simba ma mimba ume towa kuliko kumu tunza kinda
Shania munvulugu shania auna adabu shania mwanamuke sugu mbele ya mungu uta tubu
Utaki vijana una penda ma babu wakupe chips nyama garama billa esabu Ila una saabu kama ukimwi niajabu
Acha kujidanganya maman nenda taratibu
Nenda uka mwambiye shania ahaaa aba dili
Tabiya asiye eshimu wa zazi ufunzwa na dunia
Aaaa sije ku jutiya ahaaa
Nenda uka mwambiye shania ahaaa aba dili
Tabiya asiye eshimu wa zazi ufunzwa na dunia
Aaaa sije ku jutiya ahaaa ahaaaa aaa haaaa nenda uka mwambiye Shania ahaaaa aaaa haaaaMwisho asije kujutiya ahaa
♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪
Njiya una yo pitiya siyo nzuri shania na usipo
Sikiya Jenamah ita kupokeya mwili umepewa namanani kwanini ufanye biashara ukimwi aujuwinani shania ngoja mahaara
Ivi ume logwa na Nani ume aibiaha mamako
Japo ni shemasi kanisani babako maombi ume ombewa shauri ume pewa tabiya ni zille zille kama mlozi ume kuwa
Dunia uja ielewa endeleya ku lewa. Kama bangi sigara we tumiya kama kawa Ila baadaye usije jutiya mana millah ata Qurani na
Biblia ume zila kisha kupenda mambo ya dunia
Asira ume nipa moyoni shania rekebisha mwenendo badilisha matendo muda kwenda clab asa jiime kidogo eshimu sana maman alikubeba kwenye tumbo Apana kumutukana ata iki wa kwenye fumbo ya leo sio ya jana
Dunia iyi ni Fimbo shania kuja ungama acha njiya za ma gendo oo
Nenda uka mwambiye shania ahaaa aba dili
Tabiya asiye eshimu wa zazi ufunzwa na dunia
Aaaa sije ku jutiya ahaaa
Nenda uka mwambiye shania ahaaa aba dili
Tabiya asiye eshimu wa zazi ufunzwa na dunia
Aaaa sije ku jutiya ahaaa ahaaaa aaa haaaa nenda uka mwambiye Shania ahaaaa aaaa haaaaMwisho asije kujutiya ahaa
♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ winner ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ shania ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪ ♪shaniaa aaaahaaaa
Written by: Byron boy
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...