Credits
PERFORMING ARTISTS
Searching for Home
Performer
Ludwig Barth
Drum Programming
Florian Anger
Drums
Samuel Joseph
Background Vocals
Hannes Weidauer
Trumpet
Jeremias Wagler-Wernecke
Electric Guitar
Markus Rethberg
Background Vocals
Johann Giesecke
Background Vocals
Kilian Srowik
Electric Guitar
Hannes Stollsteimer
Keyboards
Theresa Vogt
Background Vocals
Johannes Kellig
Background Vocals
Lina Ida Wutzler
Vocals
Hakim Azmi
Keyboards
COMPOSITION & LYRICS
Florian Anger
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ludwig Barth
Producer
Florian Anger
Producer
Johannes Kellig
Mastering Engineer
Lyrics
Njiwa peleka salamu
kwa yule wangu muhibu
Umueleze afahamu
kwamba napata taabu
Taabani mahamumu
Maradhi yamenisibu.
Usiku kucha nakesha
Na yeye ndiye sababa
Iwapo haji maisha
Hanifika aibu
Pendo langu halijesha
Ndilo liloniadhibu.
Run to me, run to me
Go bring back, go bring back
Run to me, run to me
Njiwa usiajizike
Nenda ulete majibu
Nenda upesi ufike
Mkimbilie sahibu
Mbele yake utamke
Ni yeye wa kunitibu.
Ukifika tafadhali
Sema naye taratibu
Ukisema kwa ukali
Mambo utayaharibu
Kamwambie sina hali
kufariki si ajabu.
Run to me, run to me
Go bring back, go bring back
Run to me, run to me
Written by: Florian Anger

