Lyrics

Nikikuona nanyamaza hata kama nilikua nalia Macho unayapumbaza Raha zinazidi nalia Upepo utoke magharibi Yani uvume pwani ama bara Hizi raha zanizidi Mimi huba lako latawala Nataka nitangaze kwa redio na Nataka wasikie na wenzio Penzi lako lanipeleka mbio na Baby wewe kichwa mi sikio Nataka nitangaze kwa redio na Nataka wasikie na wenzio Penzi lako lanipeleka mbio na Baby wewe kichwa mm sikio Ukizidisha utaniua Walahi utaniua Ukizidisha utaniua Walahi utaniua Oooh baby leo pombe na muziki Maisha yetu sio ya Kiki Wasitingishe kibiriti We ni show unavyoshow penzi letu ni mchongo Mmmmh Usiwape hata uso wape mgongo Mmmmh Nataka nitangaze kwa radio na Nataka wasikie na wenzio Penzi lako lanipeleka mbio na Baby wewe kichwa mi sikio Nataka nitangaze kwa redio na Nataka wasikie na wenzio Penzi lako lanipeleka mbio na Baby wewe kichwa mi sikio Ukizidisha utaniua Walahi utaniua Ukizidisha utaniua Walahi utaniua
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out