Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
D Nasseh
Performer
Dnasseh Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dnasseh Tz
Composer
Lyrics
Vipi Mtoto Nyumbani Aha Nimekumbuka.
Mzima wa Afya kabisa oh Aha Nimekumbuka.
Ni muda umepita na siku Ni Nyingi sana Toka Niondoke.
Kuja kwetu kukaata maisha ya sije banaa.
Sio pepo La hasara Hapana
nawala sio dharau Hapana
sitokusahau we Hapana
Huruma Nionee.
Napamabana Bado Napambana
Bado Napamabana
Kuna Muda Napiga Goti Kwa Mola Nikiomba Msamaha.
Kuna baadhi Ya simu zako sikupokea .
Ni muda umepita na siku Ni Nyingi sana Toka Niondoke.
Kuja kwetu kukaata maisha ya sije banaa.
Sio pepo La hasara Hapana
nawala sio dharau Hapana
sitokusahau we Hapana
Huruma Nionee.
Napamabana Bado Napambana
Bado Napamabana
Ohoo ahaa Napambana
Sio pepo La hasara Hapana
nawala sio dharau Hapana
sitokusahau we Hapana
Huruma Nionee.
Napamabana Bado Napambana
Bado Napamabana
Written by: Dnasseh Tz