Credits

PERFORMING ARTISTS
Rj The Dj
Rj The Dj
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Romeo George Bangula
Romeo George Bangula
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
T.RONE
T.RONE
Producer

Lyrics

Rj the DJ all day baby
This goes out to all lovers and friends
Friends and lovers and
Make sure you dedicate this song to the one you love tafadhali
You here me already
Tena nakupa khabari, ipulike kwa makini
Mahaba hayana siri, ndio nami nabaini
Nimekupiga muhuri, hapa mwangu kifuani
Basi babe don't worry, I love sweat honey
We ndo udi la waridi, wangu lulu marijani
Mola kanipa zawadi, nzuri ilo thamani
Mimi kwako nishafika, kwingine sikutamani
Wanipa raha, mwingine simtamani
Wangu honey hayuni, mapenzi yako jamani
Wanipumbaze akili, mwingine simtamani
Tupendane kwa yakini, niwe wako wangu mimi
Tushakula na yamini, mi nawe mpaka peponi
Aaaa aaaa aaaaa
Mwingine sina
Aaaaaaaaaaa
Mwingine sina
Aaaaaa aaaaaa
Sina mwingine
Nimetuliazana baby, mimi ni wako daima
Kwako nishafika honey, acha pupa papara
Unidekeze tucheze cheze
Umeniteka
Wangu honey hayuni, mapenzi yako jamani
Wanipumbaze akili, mwingine simtamani
Tupendane kwa yakini, niwe wako wangu mimi
Tushakula na yamini, mi nawe mpaka peponi
Aaaa aaaa aaaaa
Mwingine sina
Aaaaaaaaaaa
Mwingine sina
Aaaaaa aaaaaa
Sina mwingine
Ladies and gentlemen
They call me RJ, the DJ
And I thank you so much for listening
Awote
Written by: Romeo George Bangula
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...