Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Karura Voices
Karura Voices
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Pitson Pen and Paper
Pitson Pen and Paper
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Dominick Khaemba
Dominick Khaemba
Producer

Lyrics

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh Bwana unipandishe
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh Bwana unipandishe
Eeh Bwana uniinue kwa imani nisimame
Nipande milima yote eeh Bwana unipandishe
Eeh Bwana uniinue kwa imani nisimame
Nipande milima yote eeh Bwana unipandishe
Sinatamani nikae mahali pa shaka kamwe
Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba

Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe eeh Bwana unipandishe

Written by: Pitson Pen and Paper
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...