album cover
Sawa
5
African
Sawa was released on September 20, 2022 by Slide Digital as a part of the album Sawa - Single
album cover
Release DateSeptember 20, 2022
LabelSlide Digital
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Karma Stellah
Karma Stellah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Stella Paul Johnson
Stella Paul Johnson
Songwriter

Lyrics

Mmmh
Ulinidanganya kwa tabasamu kumbe moyoni unaning'ong'a na sikujua nakitisha kioo
Kwa utamu wa tabasamu ulinidanganya na kuning'ong'a na sikujua unanilisha kiporo
Kiutani mguu shingoni amening'ata nyoka naogopa jani na sikujua inakuja mwishoni
Ooooohooo Heri niwe peke yangu
Ooooohooo Heri niwe peke yangu
Ooooohooo Heri niwe peke yangu
Mapenzi yana balaa
Nitaulaghai moyo wangu (ntakuwa sawa tuu)
Japo nilichopanga hakijatimia (ntakuwa sawa tuu)
Umekipa moto kichwa changu (ntakuwa sawa tuu)
Kwenye tundu bovu ndege nikanasa (aaaaaah)
Sikujua kama kesho inatengenezwa na leo
Nikaupenda wakati uliopo nikasahau ujao
Yangu koroma nazi kiu sioni maji yanitesa maradhi ya mapenzi naugulia×2
Ooooohooo Heri niwe peke yangu
Ooooohooo Heri niwe peke yangu
Ooooohooo Heri niwe peke yangu
Nitaulaghai moyo wangu (ntakuwa sawa tuu)
Japo nilichopanga hakijatimia (ntakuwa sawa tuu)
Umekipa moto kichwa changu (ntakuwa sawa tuu)
Kwenye tundu bovu ndege nikanasa (aaaaaah)
Wee haya
Wee haya
Written by: Stella Paul Johnson
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...