album cover
Moyo
album cover
Moyo was released on November 4, 2022 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Dedication
November 4, 2022
LabelSony Music Entertainment East Africa
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Sikia, sikia aah, sikia moyo, jishike tabia
Tulia tulia wee, tulia moyo, jichunge tabia
Mi nilidhani kazi kusukuma damu, sasa naona mauzauza mambo tofauti
Chakwangu kidogo huridhiki nacho, unapenda vikubwa, utaniponza moyo, moyo, moyo
Vitamu vinono kutolea macho, utaniponza moyo, we moyo, moyo, moyo, moyo
Wengine umefanya wamepotelea jela, sababu yako moyo, moyo, moyo
Na wengine wameshindwa wakasaliti zao ndoa, sababu yako moyo
Moyo wangu mie (Moyo), punguza tamaa (Moyo), jifunze kuvumilia (Moyo), utaniumiza
Moyo wangu mie (Moyo), kuna kitu unatamaa (Moyo), jifunze kutulia (Moyo), wataka nipeleka wapi woo wo-wo-wo
Unataka kushindana na dunia, ooh na dunia, usifate ya mitandao kila mutu tajiri
Vingine fumbia macho usitazame muke wa mutu huyo, ridhika ukipatacho tamaa zako zitaniponza moyo
Wengine umefanya wamepotelea jela, sababu yako moyo, moyo, moyo
Na Wengine wameshindwa wakasaliti zao ndoa, sababu yako moyo
Moyo wangu mie (Moyo), punguza tamaa (Moyo), jifunze kuvumilia (Moyo), utaniumiza
Moyo wangu mie (Moyo), kuna kitu unatamaa (Moyo), jifunze kutulia (Moyo), wataka nipeleka wapi woo wo-wo-wo
Written by: Omary Faraji Nyembo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...