Credits

PERFORMING ARTISTS
Berean Gospel Ministers
Berean Gospel Ministers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Berean Gospel Ministers
Berean Gospel Ministers
Songwriter

Lyrics

Ndoa ni takatifu iheshimiwe *3
Leo ni shangwe na nderemo wawili kuunganishwa
wamekuwa mwili mmoja maisha yote
Bwana harusi amempata mwenzi wake wa maisha
na bi harusi amekubali mwenzi aliyemtafuta
wameanza maisha mapya Mungu awabariki
Ndoa ni takatifu iheshimiwe *3
Mpendane maisha yenu mshike neno la Mungu
maombi yawe ngao yenu kwa ibilisi
Written by: Berean Gospel Ministers
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...