Music Video

Marafiki by Fathermoh
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fathermoh
Fathermoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Otieno Ojwang
Joseph Otieno Ojwang
Songwriter

Lyrics

Black Market Records Eeeeh aaaahaa Tushafika Shereh ianze saa moja asubuhi Kaa tuko watano pombe iwe kumi Akizima anywe tena itaamsha mwili Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aaha) Marafiki nalewa ju ya marafiki Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aaha) Marafiki nalewa ju ya marafiki Si ufike hapa si ukam hkvi ndio Kufika hivi naona meza imechrome Shots shots go patoo Nikona marafiki dhana (dhana) Wao hukua na pesa tena sana (sana) Shida wako kazi mchana (eeee) Usiku wanalewa na kuchana Nikskia form mii nakimbia Shots tunamwagia Mapema na sana Ukiona brayo anakupigia akiwa na kevo Pombe na wasichana Eeeeh aaaahaa Tushafika Shereh ianze saa moja asubuhi Kaa tuko watano pombe iwe kumi Akizima anywe tena itaamsha mwili Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aaha) Marafiki nalewa ju ya marafiki Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aaha) Marafiki nalewa ju ya marafiki Aah ogopa marafiki wa gin (gin) Utalewa anytime anyday Ogopa marafiki wa whiskey Utazima by force anyway Air force twende fom adi chee Pre-game tukiwa kwa highway Unazimia kwa club kesho totoe lock Tulewe again en again Eeeeh aaaahaa Tushafika Shereh ianze saa moja asubuhi Kaa tuko watano pombe iwe kumi Akizima anywe tena itaamsha mwili Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aaha) Marafiki nalewa ju ya marafiki Sipendi pombe nalewa ju ya marafiki (Aaha) Marafiki nalewa ju ya marafiki
Writer(s): Joseph Otieno Ojwang Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out