album cover
Nikae
40
Christian & Gospel
Nikae was released on December 23, 2022 by Spinal as a part of the album Yesu Ni Wangu
album cover
Release DateDecember 23, 2022
LabelSpinal
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM114

Credits

PERFORMING ARTISTS
Armee Seben
Armee Seben
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Meshack Temu
Meshack Temu
Songwriter

Lyrics

Verse
Milele milele milele ametukuka Ye milele
Milele milele milele ametukuka Ye milele
Milele yo yo yooo ametukuka Ye milele
Verse
Nalifurahia walipo niambia na twende
Twende nyumban mwake Bwana
Chorus
neno moja nimelitaka kwa Bwana
Nikae nyumbani mwake milele
Niyasimulie matendo yake milele
Niutafakari uzuri wake eeeh
Bwana aaahhh
Verse
Bwana yee ndiye njia
Eeeh Ya kweli na uzima
Aaaah kila ajae kwake
Eeeh Anauzima tele
Aaaaah
Bwana Yee ni nuru yangu
Na wokovu wangu
Unifundishe njia yako Baba
Nakuniongoza
Bwana Yee ni nuru yangu
Na wokovu wangu
Unifundishe njia yako Baba
Nakuniongoza
Yesu wee Yesu wee ndani yanguna sifa
Yesu wee Baba yeendani yangu na sifa
Chukua sifaza moyo wangu Baba eeeh
Chukua sifa za moyo wangu Yesu wangu
Iyeeeeee
Verse
 Mimi na nyumba yangu nitamtumikia Bwana
Bwana Bwana Bwana Yesu eeeeeeh
Verse
Mimi nimepewa mamlaka
Kukanyaga nyoka na nge
Yote kwa jina la Yesu
Yesu weee Yesu
Yesu Bwana Yesu
Verse
Cheche cheza checheza
 
Chorus
Yesu wee papa yabana
Yesu wee kitaozala *2
Written by: Meshack Temu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...