album cover
Acha Nipepee
album cover
Acha Nipepee was released on January 7, 2023 by Maarifa as a part of the album Acha Nipepee - Single
January 7, 2023
LabelMaarifa
BPM95
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Hainunui pesa furaha ILA
Inaua presha na njia MAANA
Hata ukiwa na mbawa unahitaji miguu kupaa
Inamwagika sasa waliosema haitojaa
Hawasumbui tena siutani MAANA
Waliopo nnje ndio wanaotujua kiundani
Ndiomaana siogopi mkisema mtanipanda kichwani
Huwa nawaza mtanipanda kwenye kichwa gani
Nimejipanga
Kuwa bosi bahiri huoni CHAWA
Kujiamini life style ‘till i die con SAWA
Sishirikishi mtu na napepea huoni MBAWA..!?
Toboa ili wakuheshimu champion KONTAWA
Nipo mwenyewe sina ndugu wa kuungana
Tusiogope dhambi tutatubu na kuungama
Ukiniona hapa usifikiri nimefuzu jana
Nlishanyimwa MIC apewe BUBU nafasi ya kuchana
Acha Acha Nipepee
Acha Acha Nipepee
Kwahiyo Acha Acha Nipepee
Kwahiyo Acha Acha Nipepee
ACHA
 
Nilizaliwa nikalia
Nikifa watalia
Mbegu iliyochotwa kwa mkono|
Ndio ijazayo magunia
Na sio utani nakuapia
Waliotumwa kunituliza wakakutwa wametulia
Tupo kizazi cha streams sahau kuhusu kanda bongo man
Simba wamekubali halafu kuna mbuzi kagoma
Wakichana na shona
Sio masikhara bosi
Tangu baada ya show nalipwa mshahara wa makofi
Nipo mwenyewe sina ndugu wa kuungana
Tusiogope dhambi tutatubu na kuungama
Ukiniona hapa usifikiri nimefuzu jana
Nlishanyimwa MIC apewe BUBU nafasi ya kuchana
Acha Acha Nipepee
Acha Acha Nipepee
Kwahiyo Acha Acha Niepee
Kwahiyo Acha Acha Nipepee
Kibaha Finest
Mtoto Wa Baba
This Goes To All Soldiers
Written by: Rashid Rais Mohamed
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...