album cover
Aye
album cover
Aye was released on January 22, 2023 by STREET SOUND as a part of the album Aye - Single
January 22, 2023
LabelSTREET SOUND
BPM101
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Kama ndege mtini katulizana nami
Tujibane ya nini naweka penzi hadharani
Kumbe tukipendeza inauma eeh
Wanachokondea nini
Hata supu ya pweza tukinywa ehh
Wala haiwahusu nyinyi
Ninavyopenda kudeka
Nimefikishwa
Penzi la uhakika nimeridhika eeh
Kaweka moyo wanguu kwenye himaya
Kabisaa
Amenishika tena pabaya yayaya
Aye ayee tunaendana
Aye ayee hatuwezi kuachana
Aye ayee tunaendana
Aye ayee hatuwezi kuachana
Naringa nanata na wala sioni haya
Hubbah tamu kashata nalinywa kwa kahawa
Ahh mpenzi ronaldo
Anafunga goo!! goo!
Ye ndo panadol
Naponaga hapo po!
Ninavyopenda kudeka
Nimefikishwa
Penzi la uhakika nimeridhika eeh
Kaweka moyo wangu kwenye himaya
Kabisaa
Amenishika tena pabaya yayaya
Aye ayee tunaendana
Aye ayee hatuwezi kuachana
Aye ayee tunaendana
Aye ayee hatuwezi kuachana
Written by: Nassoro Abdallah, hanifa hemedi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...