album cover
Ndotoni
6,172
World
Ndotoni was released on February 7, 2023 by Bongo Star Search as a part of the album Ndotoni - Single
album cover
Release DateFebruary 7, 2023
LabelBongo Star Search
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM99

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tgun Tozzy
Tgun Tozzy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Martin Gondwe
Martin Gondwe
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr Lg
Mr Lg
Producer

Lyrics

Swax City bebe
Jeah
Naitwa TGUN
Kwenye Ndoto huko kwenye Ndoto hukoo, kwenye ndoto
Kwenye Ndoto huko kwenye Ndoto hukoo, kwenye ndoto
Aa aaa aaaa aaaaaa (Jeah Tukutane kwenye Ndoto)
Aa aaa aaaa aaaaaa (aah ukinikuta kwenye Ndoto)
Nipe kitukitu roho inapenda,
Nidake nishike chini juu kama saspender,
Ukinidis nimependa sijapenda,
Jua tukikutana kwenye ndoto utanipenda,
Masatar wengi wa kike nashindwaga kua nao,
ila kwenye ndoto nimeshapita na wao,
Mana Kwenye ndoto mi ni bonge la boss Radio zote bongo ziko chini yangu mimi,
Kwenye ndoto paula wa kajala analia kila siku mume wake niwe mimi, (Ndotoni)
naKwenye ndoto mi ni rapa mkali, (Ndotoni)
Hits zote nimeziandika mimi, (Ndotoni)
Ka unabisha ngoma ikitoka ile fit katikati basi yule ndio mimi,
Najenga sahizi Demu wangu mke wa boss,
Kwenye ndoto ananihongaga tozi,
We unataka kumjua ni nani ni official lulu a.k.a Eliza bet,
Arafu wasanii wenu wote wakali,
Mnao sema wanajua tena ni wa2 wabad,
Kwenye ndoto mwalimu wao ni mimi,
kwahiyo vyote wanavyo wapa hivyo ni vyakwangu mimi.
Kwenye Ndoto huko kwenye Ndoto huko, kwenye ndoto
Kwenye Ndoto huko kwenye Ndoto huko, kwenye ndoto
Aa aaa aaaa aaaaaa (Jeah Tukutane kwenye Ndoto)
Aa aaa aaaa aaaaaa (aah ukinikuta kwenye Ndoto)
Basi kuna siku nilimuotaga Nandy arafu billnasi ndiyo kamleta,
Niliposhituka si nikaanza kucheka,
Eti billnas nae kawa mshenga,
(Hold on)
Rest in peace Reginald Mengi,
Aliwaza sana kuhusu ujenzi,
Kwenye ndoto akakutana na mimi,
Kwahiyo nyumba ya machame ile ni idea yangu mimi,(Ndotoni)
Kwenye ndoto wema ashanitaka mimi(Ndotoni)
akadai anautaka mpini, (Ndotoni)
Nikapita kwa njia ya idriss nikampa mimba na mwisho nikapiga chini,
Jamani sahizi mi natoka na veemoney mnabisha nini kwenye ndoto mi Rotim,
Mlioowa waangalieni wake zenu msione wanapendeza kwenye ndoto sponser mimi,
Kwenye Ndoto huko kwenye Ndoto huko, kwenye ndoto
Kwenye Ndoto huko kwenye Ndoto huko, kwenye ndoto
Aa aaa aaaa aaaaaa (Jeah Tukutane kwenye Ndoto)
Aa aaa aaaa aaaaaa (aah ukinikuta kwenye Ndoto)
Written by: Martin Gondwe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...