Music Video

Diamond Platnumz - Zuwena (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Zuwena - Single by Diamond Platnumz
ALBUMZuwena - SingleDiamond Platnumz

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Habari gani kaka? Naamini unanisikia Mi mzima wa afya, mama Mungu anasaidia Toka ulipotuacha, mahututi anazidiwa Bibi presha-presha nae akatangulia Bado twakuombea ulale salama pema Japo moyoni nna dukuduku Natamani kusema, niseme eeh Zile mali wosia ulizotuhusia, tuligawa salama Zuwena zote tukampatia, tusiwe ndugu lawama Ila Zuwena kaka, amebadilika sana Yani shem lake bi Zu' wa leo sio yule wa jana Natamani ungemuona (Zuwena) Japo ungemuona (Zuwena) Kidogo tu ungemuona (Zuwena) Ungemuoona (Zuwena) Oh, ungemuona (Zuwena) Ah, zuwena (Zuwena) Ooh, ungemuonaa (Zuwena) Zuwena, ooh Mmh, Zuwena sasa kawa chotara Sio tena cheusi mangara Ngozi kaichubua awe Muzungu Anavuta na sigara Mara Boko, Mwananyamala Anachezesha tu miamala Kutwa anaisugua kipepe rungu Tena peku bila ndala Ah, Zuwena skuizi anabandika kope (Zuwena) Zuwena mipasuo kama yote (Zuwena) Oh, Zuwena lipa shika tuondoke (Zuwena) Ah, Zuwena wanamuita chawote, ooh-ooh Juzi kabebwa kwa jirani ata hajitambui (Zuwena) Yani kalewa tafarani kautwika mbwii (Zuwena) Zuwena sio tena wa ibada na dini Sadaka chenji asaidie Skuizi kageuka pedeshee wa mjini Kutunza bendi wamsifie Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia ngombe Skuizi kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe Mama Tete kitandani hawezi ata kutembea Zuwena ameshindwa ata kuja kumuona, Panadol kumletea Natamani ungemuona (Zuwena) Japo ungemuona (Zuwena) Kidogo tu ungemuona (Zuwena) Ungemuoona (Zuwena) Oh, ungemuona (Zuwena) Ah, zuwena (Zuwena) Ooh, ungemuonaa (Zuwena) Zuwena, ooh Skuizi kataradadi Anadanga, anakula ndizi kwa maganda Anajiita J.Lo Anadanga, anakula ndizi kwa maganda Eti mzungu mweusi Anadanga, anakula ndizi kwa maganda Na anatunyoosha baba Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
Writer(s): Siraju Amani, Nasibu Issaack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out