Lyrics

Sikuhizi hakuna mahaba yeh! Mahaba Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa Uchungu wakulia daily Mapenzi yalinifanya nisile Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo! Uchungu wakulia daily Mapenzi yalinifanya nisile Sina kumbukumbu hile kwamba ulinitosha noo! Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh! Mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh Sikiliza kwanza we mdada we mdada Mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha Natamani kua single ila nnaupwil unanikaba kooh Mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho Na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh Na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh! Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh! Mi nilikufa nikazikwa nikaoza Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh!
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out