Lyrics

Mbogi Genje (Hitman ting, Hitman ting) (Badmon ting, badmon ting) Zimenyanya, nimepandisia sigla Luku diriba nimepiga madicla Mbegetha nimegwaria ni ya kibla Top shotta kuwawacha kwa madibla (Smady Tings) Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii gethaa inengini, trr Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii ukijaribu MG Tunazidi zidi hard (Hard) Street imekuwa dimanga za ki-jihad Tuko yard MG, tupate tukizi-burn (Tukizi-burn) Vitu tumesunda kwa kinena ni mashang (Mashang) Time ya bako field, maga imemuokre (Muokre) Diss MG, huwezi digi shokde (Shokde) Na marima tulibakisha mashoste (Mashoste) Tumedunga ma-origi, nyi mamboste MG kila zing ana gadget (Ana gadget) Top shotta juu sijawahi miss target Leta ufala tutakusunda kwa gundu Mbuku rieba, mazishi bungu Wakibanja za kifala wataganda (Wataganda) Nawa-trace na kivitu nawashanda Nawaachia mbaru, ulimwi na maganda Nanyambisha za ku-patch nikikacha Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii gethaa inеngini, trr Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii ukijaribu MG Holy fruit nishariau, bado pеace Ka ni bad ting ya weri, siwezi miss Ni ile day wanajikuna maushuru Snady tii maithaa ni ya nduru Ni mabazing'a wa wale wapyeng'a Si ndo makweng'a na tunawatepa Wenye presha, kuwaacha na imani tu Shell shack, shell shack tukizama tu Mboka yangu, we vie tu mdiu Siaka mbaya, ni ka kunapigwa riu Hii design tunakam na hii slang Tuli-jam, tukaze kufika shang Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii gethaa inengini, trr Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii ukijaribu MG MG down, juu ni mambatco Militan, nawa-strike ki-Afghan Saruku, ma-informer kuwanasho Rima, siwezi boss bila toras Nikivuta, haiwezi pull up bila dibla Sicro, kwa mashang' haiwezi kwara Muokalise, mtu chwez siwezi zunda Uzre maguto ni olipa Wanabaki walidhani ni rahisi Govana, hatubanji mara mbwegze Gok sana, utalinki na mbegega Nikiriet, kuwakang'a, kuwashona Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii gethaa inengini, trr Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating Tuko full degree, utakula makidi Itabaki umetii ukijaribu MG
Writer(s): Antony Otiti Odhiambo, Teddy Owuor Ochieng, Malak Ayuen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out