Credits

PERFORMING ARTISTS
Asum Garvey
Asum Garvey
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Malcolm Ogutu Mutiso
Malcolm Ogutu Mutiso
Songwriter
Alex Vice
Alex Vice
Composer

Lyrics

[Chorus]
Utanipiga tens
Mi' nalipisha zangu na ma thao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (Wah, wah)
For now, wee cheza chini chini wadharau
[Chorus]
Usiwai doze ten ama tena uhatee tens (Ten)
Mi' nalipisha zangu na ma thao (Yea)
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (Yea yea)
For now, wee cheza chini chini wadharau (Yea)
Usiwai doze ten ama tena uhatee tens (Ten)
[Verse 1]
Wakisha ssh ssh nikiona karao naizima
Nimetoka fom kwa tumbo ni mzinga
Zangu 'uezi fom, mtu wangu utazima
Ten kwa tens si huipiga mzima
[Verse 2]
Ukiulizwa kunihusu waambie 'ujanizoea
Sai' niko mboka baada nitatokea
What a man can do he can still do it better
Kama Diamond am a go getter
[Verse 3]
Irriz waririz kama ume catch tease
Nikipewa kitu kaa ni grease
Zed bird from back in the days
Back in the days everybody hated Chris
[Verse 4]
Aki do this ku reach me na do this kumiss
Kwa ma enzi za ka T, I could do this for weeks
Nikijibeat napona nikiji seek nanona
Ndio na repeat kusema naifeel, si uoga
[Chorus]
Utanipiga tens
Mi' nalipisha zangu na ma thao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (Wah, wah)
For now, wee cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense
Mi' nalipisha zangu na ma thao (Yea)
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (Yea yea)
For now, wee cheza chini chini wadharau (Yea)
Usiwai doze ten ama tena watatense
[Verse 5]
Kamilisha, kiswahili sanifu nashikisha
Ten thousands hours mi nishaa kamilisha
Spits zinashika, sijai lazimisha
Kugotea msee me haijaikua shida
Akibonga tu shida siskii juu ni mia
Zangu na zako zisi mix na fitina
[Verse 6]
Alitry kunipima but open ni nia
Alidunda sana kwa matope alichimba
Akidinda kufanya mi hufanya
Morefire usiwai tegemea tu msee, kaa mbaya
Izi ngoma hubamba from since back sana
[Verse 7]
Sidaingi pang'ang'a za wasee wako mbaya
Aki do this ku reach me na do this kumiss
Maenzi za ka T, I could do this for weeks
Nikijibeat napona nikiji seek nanona
Ndio na repeat kusema naifeel, si uoga
[Chorus]
Utanipiga tens
Mi' nalipisha zangu na ma thao
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (Wah, wah)
For now, wee cheza chini chini wadharau
Usiwai doze ten ama tena watatense (Ten)
Mi' nalipisha zangu na ma thao (Yea)
Ukiplay hii tao utabambwa na karao (Yea yea)
For now, wee cheza chini, chini wadharau (Yea)
Usiwai doze ten ama tena watatense
Written by: Alex Vice, Malcolm Ogutu Mutiso
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...