album cover
Nyonga Nyonga
6,670
African
Nyonga Nyonga was released on May 20, 2017 by Lilo Mziki as a part of the album Nyonga Nyonga - Single
album cover
Release DateMay 20, 2017
LabelLilo Mziki
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM142

Credits

PERFORMING ARTISTS
Chin Bees
Chin Bees
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Chin Bees
Chin Bees
Songwriter
Mussa Ramadhani
Mussa Ramadhani
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wanene Entertainment
Wanene Entertainment
Producer

Lyrics

Nyonga nyonga
Baby nyonga nyonga
Nyonga nyonga eh
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Unavyoplay siyo utani
Mtoto ukofine
Kiuno chako laini kama hakina mfupa ndani
Unavyopanda na kushuka mi unanipa maruani
Unanchanganya changanya you utazania kitu gani
Mamilow ukoactive
Mtoto mwenye hadhi
Mtetea wangu kifaranga nipe malazi
Unapojikisa chukucha
Najifeel alright
My light we ndiyo wakunikata kitu nice
Baby uko so amazing
Fanya yako me ni freeze
Baby uko so amazing so amazing
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Uko on fireeee
Unavyoback right baby you take me higher
Na kwa maringo mwayaa
Unavyoringa ringa baby
Hakianani ni raha
Uko on fireeee
Unavyoback right baby you take me higher
Na kwa maringo mwayaa
Unavyoringa ringa baby
Hakianani ni raha
Baby uko so amazing
Fanya yako me ni freeze
Baby uko so amazing so amazing
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Nyonga nyonga (eeeeeh)
Baby nyonga nyonga (eeeeeh)
Nyonga nyonga (eeeeeh)
Baby nyonga nyonga (eeeeeh)
Nyonga nyonga (eeeeeh)
Baby nyonga nyonga (eeeeeh)
Nyonga nyonga (eeeeh)
Nyonga nyonga (eeeeee)
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Nyonga nyonga my love (nyonga nyonga)
Nipe vyote mi nifrahi
Mpaka kukuche ya jana na minyooo (nyonga nyonga)
Unavyonipa mi nnafurahi
Written by: Chin Bees, Mussa Ramadhani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...