album cover
Wangejua
1
World
Wangejua was released on March 3, 2023 by Spinal as a part of the album Don't Cry
album cover
Release DateMarch 3, 2023
LabelSpinal
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Strevol
Strevol
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gervas Keula
Gervas Keula
Songwriter

Lyrics

Aaah Aaah Aaah ooh eeh
Hawajuiiii Unavyonipenda
Hawajuiiii Ninavyo kupenda wee
Vipi utanizika ama ntakuzikaaa eeh
Kuachana siku haijafikaa eeeh
Hata Mwisho mi nawewee
Anaujua Molaa
Tukikosa tukipataa
Tuna lala
Sale sale mauwa
Asie jua kuchagu
Kabila lake mzigua ooh ooh
Marash ya yasuminiii
Nikiingia chumbani
meniweza maridhia
Hawajuiiii Unavyonipenda wee
Hawajuiiii unavyo nipenda wee
Ukiniita bebeee
Moyo wangu utaridhika Ukinita haaa haaan
Moo an moo
Ukiniita bebeee
Moyo wangu utaridhika Ukinita haaa haaan
Moo an Moo
Pale nilipo pagawa ukanipa dawa nikapona mazima
 Wakataka uote mbawa
Ili mradi uniache ka yatima
Kware huwezi fananinsha na ndege wote Hata na tetele njiwa Upele ninamakucha naweza Kuna ooh mama iyaa
Hawajuiiii Unavyonipenda wee
Hawajuiiii Ninavyo kupenda wee
Hawatojua aah Aah unacho nifanya wee
Hawatojua aah aaah Ninacho kufanya wee
Bora nife Mimi ubakiwewe
Kuliko ufe wewe Ni baki mimi
Ukiniita bebeee
Moyo wangu utaridhika Ukinita haaa haaan
Moo an moo
Ukiniita bebeee
Moyo wangu utaridhika Ukinita haaa haaan
Moo an Moo
Street Sound
Written by: Gervas Keula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...