album cover
Serious
14,240
Worldwide
Serious was released on March 28, 2023 by Waka Music Limited as a part of the album University
album cover
Release DateMarch 28, 2023
LabelWaka Music Limited
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM162

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
MABANTU
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chiby
Chiby
Producer

Lyrics

[Intro]
Take easy (Khee!) pop ma champagne
(Chiby) Weka mitungi na shisha
(Si wanapenda kubang) Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha (Kumaanisha nini)
[Refrain]
Pop ma champagne weka mitungi na shisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
[PreChorus]
Punguza userious
Maisha ayataki useious
Punguza userious
'Cause maisha ayataki userious
[Chorus]
Punguza userious
Maisha ayataki userious
Punguza userious
'Cause maisha ayataki userious
[Verse 1]
We wapi ulisikia pesa ina nunua roho
Ila ninachojua kwamba pesa inauza roho
Japo vita kubwa inayotutesa mapenzi na doo
Ila kwangu ayo mapenzi pesa kwenda (Go!!)
[Verse 2]
Nenda bar nunua bia mbili moja mpe dj akonge yako roho (roho)
Aliekwambia kutoka weekend zambi acha na uyo mwanga kakonge yako roho (Roho )
Kama una bebe kali ila inakupa stress temana nayo bhana usiumize roho (Roho)
Ukipata kidogo toka na marafiki ujichanganye uisafishe roho (Ooh!)
[PreChorus]
Punguza userious
Maisha ayataki useious
Punguza userious
'Cause maisha ayataki userious
[Chorus]
Punguza userious
Maisha ayataki useious
Punguza userious
'Cause maisha ayataki userious
[Refrain]
Take easy pop ma champagne
Weka mitungi na shisha
Maisha yenyewe tonighti na kuisha
Maisha yenyewe tonight na kuisha
[Verse 3]
Unazisaka kwa shida ukipata washauri kibao
Uwezi shindana na husda na riziki zao
Ishi kwenye ndoto zako waachie zao
Chukua 50 zako waachie zao (hao)
[Bridge]
Nenda bar nunua bia mbili moja mpe dj akonge yako roho (Roho)
Aliekwambia kutoka weekend zambi acha na uyo mwanga kakonge yako roho (Roho )
Kama una bebe kali ila inakupa stress temana nayo bhana usiumize roho (Roho)
Ukipata kidogo toka na marafiki ujichanganye usiumize roho (Ooh!)
[PreChorus]
Punguza userious
Maisha ayataki useious
Punguza userious
'Cause maisha ayataki userious
[Chorus]
Punguza userious
Maisha ayataki useious
Punguza userious
'Cause maisha ayataki userious
[Refrain]
Take easy pop ma champagne weka mitungi na shisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Maisha yenyewe tunaishi na kuisha
Pop ma champagne weka kitu hi na shisha
Maisha yenyewe tonight na kuisha
Maisha yenyewe tonight na kuisha
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...