album cover
Faraja.
5
Hip-Hop/Rap
Faraja. was released on March 3, 2023 by Mic Lon as a part of the album November's Interlude - EP
album cover
Release DateMarch 3, 2023
LabelMic Lon
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM86

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mic Lon
Mic Lon
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Swaleh Shillah
Swaleh Shillah
Songwriter

Lyrics

Biti ndo faraja yangu,
Daka siti hizi 16 nazo taja zimemejaa mipango,
Niko hapa tangu jamaa wa tatu,
So my life and purpose ni hizi kiki zilizojaa
Mitambo inasoma ukizubaa
Utakijikuta ume kuwa butu ila mimi kisu sharp
Yaani ni shujaa
Hamna tarehe wala muda,
Unabaki juta,
Unapunga upepo na hawa yuda,
Haijalishi nawavuka tu,
Nataka natana na hizi biti zaidi super glue,
Nilishasema huu mziki ulinikuta school
Kabla hata sijafaulu nilisha shuka na ku spew facts, whose that,
Wapi kwingine ninge tupa haya maswala,
Zaidi ya booth,
Wala sina mzuka na hizi idara zenu,
Mi nashusha real no masihara,
Naweka warning mwisho kama matangazo ya sigara.
Nani alitaka niwe hapa,
Hadi sasa,
Yaani fasta, twende chapaa,
Hii ndo chapter,
Rudi basi unahitaji hapa,
Nani alitaka niwe hapa,
Hadi sasa,
Yaani fasta, twende chapaa,
Hii ndo chapter,
Rudi basi unahitaji hapa
Narudi ka visasi, Fundi kazi basi
Imetosha ponya
Vidonda weka gundi ganzi wax,
Tunasonga mchana mdundo usiku
Bundi hadi nafsi, Iridhike,
Sito rudi uvunguni
Ama ntakua niko moody hadi flashi Zipige,
Wtaandika how i could be asking nothing
In another life nawaza niwe boujee mpaka basi
Ila kwa sasa nawasha udi nawaza how nilivuka
Kwa
KuAchana na we panda nichume mi,
Kuna nikukune, ndo madili ya too many,
Upepo uvume ndipo jahazi isukumwe mi nkachoka,
Hamna beef najiwaza,
How we graduated to chief toka braza,
Mligona speak na vilaza, nnapo kwenda sifiki na kipaza,
So nkaswitchi na mambo yalipotiki nika nasa,
Kushtuka siyo wiki ni miaka, na sasa niko hapa
Written by: Swaleh Shillah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...