Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Cherry
Cherry
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Patrick Alsina
Patrick Alsina
Songwriter
Neema Swai
Neema Swai
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
V50 Beats
V50 Beats
Producer
Blaq Beatz
Blaq Beatz
Producer
Hermy B
Hermy B
Producer

Lyrics

Mmmh
Kupendwa raha,
Tena ni amani
Ukicheka,
Ucheke na mimi
I'm in love,
Oh am in love yeah
I need you now,
Uwe hapa pembeni
Ukienda,
Ntabaki na nani
I'm in love,
Oh I'm in love yeah
Tuliapa wawili
Mwili mmoja
Tupendane kwa bidii
Tuwe pamoja we na mimi, (we na mimi)
Ulinifuta machozi,
Ukanijaza mapenzi
Nlipokuhitaji,
Ulikua na mimi,
Rafiki wa karibu uuuh
Yamenitesa simanzi,
Nilipo kutoka siwezi
Moyo umechoka,
Nimejifunga,
Kiapo cha damu
(Mhhhhhh mhhhhh)
(Mhhhhhh mhhhhh)
Mmmh
Kiapo cha damu
(Mhhhhhh mhhhhh)
(Mhhhhhh mhhhhh)
Mmmh
Kiapo cha damu
Siwezi tena
Sitosema aaaah
Sitokoma
Siwezi tena
Sitosema aaaah
Sitokoma
Ooooohh oooohh (ooh)
Ooooohh oooohh (ooh)
Yeah
Ooooohh oooohh (ooh)
Ooooohh oooohh (ooh)
Written by: Neema Swai, Patrick Alsina
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...