album cover
Uzima
1,423
Afro-Pop
Uzima was released on April 1, 2023 by Universal Music Africa as a part of the album Uzima - Single
album cover
Release DateApril 1, 2023
LabelUniversal Music Africa
LanguageFrench
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM101

Music Video

Music Video

Lyrics

Na tembeya dunia yote
Hakuna Mungu mwingine kama weye
We Mungu wangu
Ungali wimbo wangu
Uko Mungu wangu
Atcha niku shukuru
Mweniezi Weye
Uzima ninao moyoni daima
Uzima ni Yesu mwokozi
Alinondoa porini hakika
Aka nitiliya hodari
Nashiba rohoni kwa raha ya Mungu
Na moto wa mbinguni ulimo
Na pata kukaha nuruni kabisa
Na nuru ni Yesu mwokozi
Refrain :
Unibambe bambe Weye Mungu wangu
Unibambe bambe Weye Baba wangu
Unioneshe ndjiya nikutumikiye
Unibambe bambe Weye Mungu wangu
Nikuone one nione na baraka
Unibambe bambe nipate na kimia
Weye baba Mungu wa madjabu ni Weye
Hakuna mwingine
Taku abudu dje
Weye ndjo Mungu wa Tania
Ni mutumishi wako
Ulimutchaguwa
Wakati mina tembeya
Na kumbuka nanoana
Mapendo yako
Nashiba rohoni kwa raha ya Mungu
Na moto wa mbinguni ulimo
Napata kukaha nuruni kabisa
Na nuru ni Yesu Mwokozi
Refrain
Oh NZambe bolingo nayo ezali eloko ya mutuya
Na bomoyi ya Tania
Yango ake ko pema na kimia
Celui qui demeure sous l'abri du très haut
Repose à l'ombre du Tout Puissant
Written by: Mazetta
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...