album cover
About Me
979
Hip-Hop/Rap
About Me was released on March 19, 2023 by Tgun Tozzy as a part of the album About Me - Single
album cover
Release DateMarch 19, 2023
LabelTgun Tozzy
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM92

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tgun Tozzy
Tgun Tozzy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tgun Tozzy
Tgun Tozzy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gboy Beats
Gboy Beats
Producer

Lyrics

Jeah
Naitwa Tgun
Mi sifai anga zenu huko thats why sifiti,
Na msiniogope sahizi sina shida na hicho kiti,
kibari nakitoa kwa masnitch,
endeleeni kusnitch mana hata mi mwenyewe snitch,
Ona sasa Mungu akisha bless amebless we unae taka kunizima umefail
sina switch kuna wana naskia huo mtaani mnanichora hata mkinichora
vipi kamwe picha hampati,
Mana nusu ganja nusu fegi nusu kanisani
Arafu nusu mnyama nusu muhuni Tgun,
Nusu bonge la tozi nusu kwani shi ngapi?
Endelwwni kupana pua mana siachi kukinukisha na naiwakilisha swax
kwa migogo Dar nzima,
Huyu mtoto mbona kama tumeanza kumsoma,
Haya nalizima jiji kinanuka nchi nzima,
muziki nyota ya kitajiri babu kila kitu safi,
Pedezywe wanahonga Gari si tunahonga mistari,
Mwisho ni bidi mwisho nigeto stock hawang'oki,
I believe in this yes Music is vitamin,
Unaniamini mimi hakuna kama wewe ila wewe ndio mimi naamini,
Muziki
Umenitoa mbali naomba unielewe na ndiomaana nakuenzi kwa hizi
tenzi,
Okay
Wanajua kua najua na najua wanapima,
Waambie nilimtukana Mamba na mto bado nikavuka,
Hiki kicwa huwezi pima,Babu maji ya kisima,
Na napisi moja ambayo inaniendesha kiutu uzima,
Behave mtoto ananipemda usiseme,
naringa kua na yeye nae anavimba kua na mie,
Ananiambia Baba mi sitaki unihonge hizo pesa ndogondogo ndio za
kukufanya ujenge,
Basi tonya iyamawe Tonya iya mawe,
Tonya iyamawe Tonya,
Wahuni tuna owa Tuna owaaaa,
nauliza tuna owa Tuna owaaaa,
Jeya intiomba kiwinzu muntu ku nkopea,
I dont care,
Yantu yakumwitu mpelini support nju kupera,
Nginanzu kuchana yantu yaku yakuti nomaa,
Mwenji tuzini mumalola chintu kuzipa,
Ichizipile muziki unonile kamsokoto kalumwinteteee,
Kalu mwintete iyee mwe,
Kalumwintete iyetatawe,
Kalumwintete ichumi mwe,
Kalumwintete oh oh ooo,
Bless kwa wanangu wote ambao mtaani mnapambana nyie muombeni
Mungu msichoke mambo yata nyooka,
No tret no surrender Mungu hajawahi kukunja kuna muda utafika
mambo vum yatajipa, Okay
Asante Mungu sahizi nimekua bless kwa wazazi wangu Reast peace
nawaombea
Mlinilea pia mkanifunza kuishi na heshima maisha nayo ishi sasa
utasema sio yatima,
Wanacompare pamba na vitu ninavyo nyuka m niwa ushazi ila utasema
masaki hapa,
Wakitapa tapa na kurukaruka nawatuliza, wananiona smart kumbe bei
zangu goroka,
Usije ukaniona hivi mi nilivyoo,
Ukaanza gafra gafra kunichukulia simpoo,
Kichwa changu kwa mfano nikupe wewe hapoo,
Kama sio jera Hospital basi jua ni kifoo,
Ukiweka beat nachanika mpaka basi,
Leta wahuni mi ndio chafu yao safi,
Kuhusu battle yoh mirango ikowazi,
Toa ratiba arafu sema kuna shingapi,
Bunduki
Written by: Tgun Tozzy
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...