album cover
Kusafiri
album cover
Kusafiri was released on April 28, 2023 by Cookie Records as a part of the album Kusafiri - Single
April 28, 2023
LabelCookie Records
BPM114
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Na bado wanitesa
Na bado wanitesa
Nakupigania pendapenda Manado wanitesa
Nakimbizana nakupigania na bado wanitesa
Najipa sana kila unataka na bado wanitesa
Najiumiza nkikufurahisha
Na bado wanitesa
Unanichezacheza bila wee kuficha
unapenda wasichana bila wee kuficha
Unawapa mapesa mapesa wanakufuata kifuata
Unawapa mahaba mahaba
Naachana nawe
Weeee naachana nawe
Nakupigania pendapenda Manado wanitesa
Nakimbizana nakupigania na bado wanitesa
Najipa sana kila unataka na bado wanitesa
Najiumiza nkikufurahisha
Na bado wanitesa
Pigania pendapenda Manado wanitesa
Nakimbizana nakupigania na bado wanitesa
Najipa sana kila unataka na bado wanitesa
Najiumiza nkikufurahisha
Na bado wanitesa
Na bado wanitesa
Na bado wanitesa
Na bado wanitesa
Unapenda kutangatanga
Mi nataka atakayekaa
Unapenda kuwafurahisha
Hata wapita njia
Wee naachana nawe
Weeee naachana nawe
Nakupigania pendapenda Manado wanitesa
Nakimbizana nakupigania na bado wanitesa
Najipa sana kila unataka na bado wanitesa
Najiumiza nkikufurahisha
Na bado wanitesa
Pigania pendapenda Manado wanitesa
Nakimbizana nakupigania na bado wanitesa
Najipa sana kila unataka na bado wanitesa
Najiumiza nkikufurahisha
Na bado wanitesa
Written by: PGMG
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...