Lyrics

Oh-ooh Aki mapenzi ya Pwani utaweza wewe? Sudah Mombasani, Kongowea Nilipatanana na Leah Vitu tamu akanipea Vitu mi sijazoea Biryani ya top layer Avocado ongezea Moyoni naogelea (ah-ah-ah) Na kwanza tukipendana Napepea Kwanza zetu zikiguzana mama Sijazoea Ma mama Na, napepea Tukipendana Sijazoea Na, na, na Na, napepea Tukiguzana Sijazoea Umenipandisha mpaka wingu la tisa Pale umeshika, vile umeshika mama (ah, ah) Umeshikanisha sita na tisa, baby Basi niambie ukifika tufike pamoja my love Na, na, na, na, na, na Na, napepea Tukipendana Sijazoea Na, na, na Na, napepea Tukiguzana Sijazoea Na, na, na Na, napepea Na, na, na Sijazoea (na, na, na, na) Na, na, na, na, na Na, na, na, na, na Na, na, na, na, na Na, napepea Tukipendana mama Sijazoea Na, na, na, na, na
Writer(s): Benson Mutua Muia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out