Lyrics

Karibuni kwa Mida ya, ya 420 Kurudishia mwili asante na kumedi Kama hauna yako basi pigia peddi Juu zikiwaka zinawaka mpaka weekendi Okay Mama pitishia baba (ni 420) Polisi pitishia raia (ni 420) Waititu pitishia Sonko (ni 420) (Wewacha) Everybody legalize Pale, kumewaka tire, Weh kuja na nare, Hapa ni ng'welo tunara-ra-ra (ahh) Na wale (wale wale) Wameachanganya na Ngale Wakapigie Nje Hapa ni ng'welo tunara-ra-ra (ahh) Okay Karibuni kwa Mida ya, Ya 420 (Masaa ya kazi) Kurudishia mwili asante na Kumedi Kama hauna yako basi pigia peddi Juu zikiwaka zinawaka mpaka weekendi Karibuni kwa Mida ya, Ya 420 Kurudishia mwili asante na Kumedi Kama hauna yako basi pigia pedi Juu zikiwaka zinawaka mpaka weekendi Na hii si niko kanisani (ni 420) Kanyari pitishia Ng'ang'a (ni 420) (Weuh) Juu zinawaka hadharani (ni 420) Everybody legalize (legalize) Pale, Sol Generation iko ndani, Vibe imekubali Hapa ni ng'welo tuna ra-ra-ra Na wale Wa maunga na matembe Wakapigie nje Hapa ni ng'welo tunara-ra-ra (Baby) Karibuni kwa mida ya, Ya 420 (masaa ya kazi weuh) Kurudisha mwili asante na Kumedi Kama hauna yako basi pigia peddi (pigia peddi) Juu zikiwaka zinawaka mpaka weekendi (Pigia peddi oh yo yo yo) Karibuni kwa mida ya, Ya 420 Kurudisha mwili asante na Kumedi Kama hauna yako basi pigia peddi Juu zikiwaka zinawaka mpaka weekendi Sudah Oh no no no no no Mambo mengi Masaa ndio machache O lo lo lo
Writer(s): Bien Aime Alusa, Benson Mutua Muia, Ywaya Eugine Simon Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out