album cover
Hey! (from ech0)
49
Afro-Pop
Hey! (from ech0) was released on April 20, 2023 by Rauka Music as a part of the album Echo: Dawn - EP
album cover
Release DateApril 20, 2023
LabelRauka Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM85

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Bildad Sellanga Ochieng
Bildad Sellanga Ochieng
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Ningefurahi nikuone karibia kidogo ah ah
Usiku zangu ni baridi kama huko karibu mama
[Chorus]
Nasema
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
[Verse 1]
Ka kuna mtu hii dunia ana bahati ni mimi
Najua kila mtu ataniuliza kwa nini
Manzi yangu bumba hata mi siamini
Sitaki Ruth, sitaki Ray, sitaki pia Kanini
Kushikwa nimeshikwa nikawekwa mfuko
Hakuna pickpocket itanitoa huko
Ni mimi na yeye yeye na mimi
Tuko pamoja kama mdomo ulimi
Amekua na mimi nikikaranga chumvi
Atakuwa na mimi nikianza kunona
Sijamwona leo lakini story ni hii
Nitachukua simu yangu nimwambie hivi
Ntasema
[Chorus]
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
[Verse 2]
Si kila siku utapata msichana moja mzuri
Msichana amesoma lakini hana kiburi
Msichana saa zingine anasoma Zaburi
Kusikiza santuri kwake pia desturi
Kama niko naye kila kitu ni shwari
Naona poa sana ananijali hali
Ye ni upepo wangu katika jua kali
Tafadhali please nitasema ukweli
Akiniacha leo sitafuti mwingine
Mambo ya kutafuta niliacha zamani
Lakini hiyo haitafanyika jamani
Juu hata yeye najua anafikiri hivyo
[Chorus]
Nasema
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika nasema
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
[Outro]
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Hey baby nataka kukuona
Sura yako inafanya roho inapona na
Hey kweli we ni malaika
Hao wengine nawaita kadhalika
Written by: Bildad Sellanga Ochieng
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...