Credits
PERFORMING ARTISTS
Manu Bayaz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nasha Travis
Songwriter
Lyrics
Dawa yangu ni we,
Niki-hayuka naomba nitulize,
Oh no no usiwape nafasi.
Kaluako ka waridi ni mimi eh,
Wa Huba Langu ni wewe,
You drive me crazy, njoo unitulize,
Wala usiwape nafasi, nahitaji MI kubaki nawe.
Babey do you promise me, l love you
Babey do you love me, l need you
Babey do you need me, l want you
Na Wala kwa Mwengine sitakwenda
Sinena me Najua kweli unanipenda,
Ila me nashaka Kuna wengine wanakutamani,
Nakuhenza uwe, Nakuhenza uwe
Written by: Nasha Travis