Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Shanariha Evans
Shanariha Evans
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Shanariha Evans
Shanariha Evans
Songwriter

Lyrics

Leo ni wikendi hatuendi shuleni ni wikendi
Leo ni wikendi tunacheza magemu ni wikendi
Niko set kwa bed na nikona pesa
Nimetoka chuoni na hamu ya kutesa
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi hatuendi shuleni ni wikendi
 Leo ni wikendi tunacheza magemu ni wikendi
Napitia swimo kasha niende stadi
Ninunue chips mwitu na soda ya jagi
Dad usinipigie huu niko safe
Nitakupigia jioni unipick
One for the party
Two two for the baddies
Three three three for the goodies
It’s a party time party time
I’ts been a long long week for sure
Today is the day kila mtu for show
Nimepata mda wa kujipa raha
Usinisumbue mimi siko mtaa
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi hatuendi shuleni ni wikendi
Leo ni wikendi tunacheza magemu ni wikendi
 
Masaa machache, mambo ni mengi
Nifike site, wacha nifike site
Life ni fupi tufurahishe mwili
Na tujinice na tujinice
One for the party
Two two for the baddies
Three three three for the goodies
It’s a party time party time
I’ts been a long long week for sure
Today is the day kila mtu for show
Nimepata mda wa kujipa raha
Usinisumbue mimi siko mtaa
 
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi hatuendi shuleni ni wikendi
Leo ni wikendi tunacheza magemu ni wikendi
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi, ni wikendi
Leo ni wikendi hatuendi shuleni ni wikendi
Leo ni wikendi tunacheza magemu ni wikendi
Written by: Shanariha Evans
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...